Recent content by xaracter

  1. X

    Hawa watu wawili (2) walizaliwa hapa Tanganyika/Tanzania nyakati zisizo sahihi kwao!

    Inaelekea uko uninformed, na una utumwa wa kifikra na inaonekana wewe ni wale waru mna laumu wakoloni kwa nchi zetu kukosa maendeleo miaka 50+ ya uhuru.
  2. X

    Hawa watu wawili (2) walizaliwa hapa Tanganyika/Tanzania nyakati zisizo sahihi kwao!

    Huyo wa kwanza uliyemtaja ndio katufikisha kwenye matatizo yote haya alipewa nafasi ya kujenga msing akajenga msingi mbovu.
  3. X

    Kizazi kilichojaa chuki, wivu na sononi

    Unategemea nini kwenye nchi iliyojengwa kwenye misingi ya kishirikina.Negative energy everywhere.Nchi ambayo 93% ya raia ni washirikina.
  4. X

    Wanaodai wanapigania demokrasia ndio wafanyao udikteta

    Tatizo kubwa la watu wa aina yako wenye akili,ufahamu na weledi wa zaidi kidogo ya kawaida (above average) hujiona wanajua sana ilhali wanachojua ni si muktadha mzima wa jambo husika. Nashangaa sana mtu mjuvi wa mambo kama mwandishi wa hii mada HAJUI kuwa siasa za ndani ya chama ni tofauti sana...
  5. X

    Tetesi: Tanzania inalipwa mabilioni ya fedha toka nje ambazo zimefanywa siri na serikali hazina rekodi, tumenunulia ndege, na kujenga SGR na Stiegler nk

    Kama pesa za helium zipo ,deni lisingekuwa kubwa kwa haraka hivyo liwe la ndani au la nje au kinacholipwa ni kidogo hakiakisi na tusibishanie tetesi .
  6. X

    Tetesi: Tanzania inalipwa mabilioni ya fedha toka nje ambazo zimefanywa siri na serikali hazina rekodi, tumenunulia ndege, na kujenga SGR na Stiegler nk

    Mbona deni la taifa linaongezeka kama kuna pesa mbadala?? Kumbe ni tetesi! Huu ndio umbea aliosema naniliu
  7. X

    Mwenye CV ya Mwl. Christopher Mwakasege aiweke hapa

    Utakuwa umepotea kweli,Kwa kuwa umeweka Imani yako Kwa watu bad ala ya kuweka Imani yako Kwa Mungu
  8. X

    Kiutaniutani Trump anaondoka White House

    Impeachment doesn't mean removal from office.
  9. X

    Rais Magufuli hajavunja Katiba kumteua CAG mpya, tatizo ni Kiingereza kilichotumika kwenye Katiba

    Tatizo ni kwamba unazungumzia Shall ya kawaida ,ukizungumzia hivyo ni kama uko sahihi. Bahati mbaya kwako ni kuwa 'Shall' inayozungumziwa ni 'Shall' ya kisheria ambayo inapotumika maana yake imeainishwa kuwa inamaanisha nini. Kwa hiyo uko wrong#
  10. X

    Tuige BOT ya Nairobi Express Road yenye Toll Fee ili kuondoa foleni za magari

    Jidu La Mabambas Nchi nyingi zenye toll charges hawakatwi fuel levy. Huku kwetu badala ya toll ndio wameweka hiyo fuel levy ukicharge toll na fuel levy unakuwa unamcharge mtu mara mbili . Na tatizo la foleni hapa kwetu ni miundo mbinu ndio haijakaa vizuri sio kwamba magari niengi kihivyo.
  11. X

    Hotuba ya Waziri Kabudi Umoja wa Mataifa - UN, kwa niaba ya rais Magufuli - 27 Septemba 2019

    We jamaa ni mgonjwa ! Ulitaka rais afananishwe na waziri au? Rais hufananishwa na rais ! Almost puked !
  12. X

    Fukuza Marekani nchini

    Ona aibu hata kidogo basi! Hata hiyo internet unayotumia ya kwao. Aliye kuzidi kakuzidi tu! Maneno matupu hayavunji mfupa!
  13. X

    Fact: Ni bora kutawaliwa na CCM kuliko kuongozwa na Upinzani

    Ukisikia mtu anaitwa kibaraka ndio kama huyu, huyu si ajabu babu yske alikuwa kibaraka wa mkoloni ,ingelikuwa enzi za mkoloni muimba mapambio huyu angesema heri kuendelea kutawaliwa na mkoloni hap Watanganyika mwenyewe hawana uwezo wa kujiongoza, ni mtu ambaye lazma ajikombe ndio apate...
Back
Top Bottom