Tuige BOT ya Nairobi Express Road yenye Toll Fee ili kuondoa foleni za magari

redeemer

Hehehe! MaCCM huwa mnachekesha sana, huwa mna ktu tunaita ' cognitive dissonance', watu humu wakija na picha zinazoonyesha Watanzania wanavyoteseka kwa kukosa maji na pembeni waonyeshe ndege mnazonunua japo hazina faida, mnawatukana sana, ila hapa huchelewi kuonyesha picha ya darasa mbovu dhidi ya barabara ya kisasa itakaynufaisha pakubwa.
 
Hahaha wakenya wenzako hao babu, kapambane nao huko twitter me nimefikisha ujumbe tu

Ndege zetu hazifanani na huu mradi wenu wa kifisadi sababu hata tukisema ndege tuziuze bado zitanunuliwa tu hata kama ni miaka 10 ijayo hazitakosa mteja.
 
Wale huleta picha za ndege dhidi ya za walalohoi wanaoteseka kwa kukosa maji ni Watanzania wenzako, ila ikija kwa Kenya unaiona kivingine.
Huu mradi wa barabara kupitia juu ya mji kilomita zote 27km tunaiunga mikono kwa dhati, maana ni faida kubwa sana ukizingatia hiyo Mombasa road husongamana hadi kero, mtu unakwama masaa kwenye msongamano ukiwa na nia ya kuwahi kwenye kikao cha dili la mamilioni, hivyo utakua radhi kulipa 300 upite juu juu ya mji bila usumbufu.
Mimi nimezoea kutumia bodaboda ninapotaka kuwahi sehemu, tatizo ni pale unakuta haziruhusiwi maeneo fulani.
Hela nyingi hupotelea kwenye msongamano wa magari, wanaume maelfu wanakwama sehemu moja hawazalishi kwenye uchumi, lost man-hours, tafuta wachumi wakudadavulie utapata kauelewa.

Ni tofauti sana na kununua mindege ambayo umeifungia ndani kwenye ruti ambazo ROI yake haina chochote cha maana, ndege inasafiri na watu saba.
 
Inajulikana miradi mingi ya Kenya huwa na ufisadi mwingi sana ila huwa na ahueni sababu huo ufisadi hulipwa kwa pesa za wanyonge kwenye hali isio ya moja kwa moja hivyo mwananchi nae anakosa uchungu wa moja kwa moja

Sasa hii scam ya Nairobi express way lazima mkenya akamuliwe double double through taxes and through cash back and forth bila huruma, hapa ndio uchungu unazidi

Em linganisha kati ya hii na Ile thika

Thika Superhighway:
1. 50KM
2. 8 Lanes
3. Economically & environmentally sound and viable.
4. Ksh. 32B

Hii Nairobi express way ni approximately two Thikas, unaweza ukaona namna ilivyo ya kifisadi, hata ile Mombasa express nayo ni way cheaper than this Nairobi scam

Mchina anawawezea sana
 
Jidu La Mabambas

Nchi nyingi zenye toll charges hawakatwi fuel levy. Huku kwetu badala ya toll ndio wameweka hiyo fuel levy ukicharge toll na fuel levy unakuwa unamcharge mtu mara mbili . Na tatizo la foleni hapa kwetu ni miundo mbinu ndio haijakaa vizuri sio kwamba magari niengi kihivyo.
 
Kwahiyo German na hao wengine wameruhusu watu kutoka nje wakusanye kodi? Hivi unaakili timamu?

Serkali ikiamua kujenga barabara ya hivyo itajengwa kwa fedha za ndani na sio kufanya ujinga km wakenya

Sidhani km tumefikia uhitaji wa road toll, miundo mbinu yetu bado inajitosheleza
China Japan Indonesia German America South Africa hizo barabara za zipo nyingi na wanatengeneza pesa nyingi sana kwani watumiaji wa barabara za haraka wapo wengi sana, mfano kama Goungzhou na Hongkong hizo barabara zipo juu flyover ndefu za km kibao ukitoka ukalipia unakwenda mpaka Airport pasipo kusimama popote
 
Unayapimaje mawazo yangu?
Nimesema hilo wazo la mtoa mada la sisi kuwaiga wakenya ni la kijinga mno

Kuruhusu Mabeberu yakusanye kodi kwenye Nchi huru ni kuondoa utu wa Mtanzania

Kama kuna uhitaji wa hiyo barabara itajengwa kwa fedha za ndani na barabara itakuwa chini ya serkali
Na watu wenye mawazo kama yako ndio wanategemewa kutufikisha nchi ya uchumi wa viwanda?
 
Unayapimaje mawazo yangu?
Nimesema hilo wazo la mtoa mada la sisi kuwaiga wakenya ni la kijinga mno

Kuruhusu Mabeberu yakusanye kodi kwenye Nchi huru ni kuondoa utu wa Mtanzania

Kama kuna uhitaji wa hiyo barabara itajengwa kwa fedha za ndani na barabara itakuwa chini ya serkali
Nasema tena kwa mawazo haya,kufikia uchumi wa kati tusahau.
 
Wewe unachokitaka ni hiyo toll au ni barabara? Sababu ushamba mwingine niliojua unao ni ile hali ya kutaka ulichokiona mahali kifanyike Tanzania bila mantiki

Kwani serikali imekuambia imekosa pesa ya kujenga barabara, iwe kwa kukopa yenyewe au kwa pesa za ndani?

Hiyo barabarani unayoisifia Nairobi, ungejua wakenya wanataka kuandamana ili sijengwe sababu ni ufisadi mtupu, ni barabara fupi sana haizi kilometres 22 lakini imegharimu pesa ambazo zinatosha kujenga SGR kutoka Dar mpaka Moro na change ikabaki na mchina ataimiliki hiyo barabara mpaka 2055

27km imekuwa 22km kivipi? Wacha kuwadanganya watu mkuu na pia wanaopinga wanafikiri barabara itaimeza Uhuru Park ila sivyo.
 
Inajulikana miradi mingi ya Kenya huwa na ufisadi mwingi sana ila huwa na ahueni sababu huo ufisadi hulipwa kwa pesa za wanyonge kwenye hali isio ya moja kwa moja hivyo mwananchi nae anakosa uchungu wa moja kwa moja

Sasa hii scam ya Nairobi express way lazima mkenya akamuliwe double double through taxes and through cash back and forth bila huruma, hapa ndio uchungu unazidi

Em linganisha kati ya hii na Ile thika

Thika Superhighway:
1. 50KM
2. 8 Lanes
3. Economically & environmentally sound and viable.
4. Ksh. 32B

Hii Nairobi express way ni approximately two Thikas, unaweza ukaona namna ilivyo ya kifisadi, hata ile Mombasa express nayo ni way cheaper than this Nairobi scam

Mchina anawawezea sana

Unajua ukiwa maskini unaishi kwa buku mbili kila siku, ije siku uskie kuna mtu anatumia laki moja kula chakula cha mchana tu, lazima uingiwe na kiwewe na kushangaa shangaa unavyoshangaa leo hii.
Barabara ya Thika Road haijapita mjini kati, tofauti na hii inayotaka kupasua maeneo ya karibu na kati.
Chukulia mfano tofauti ya Gharama ya ukitaka kujenga barabara ya juu itakayopitia Sokoine au Samora baina ya Hassan Mwinyi road.
 
Nimesikiliza sasa hivi KBC-Kenya Broadcasting Corporation ambapo wajumbe wa jiji la Nairobi walikuwa wakipokea ripoti ya ujenzi wa Nairobi Expressway, barabara ya kwenda Mombasa kutoa magari nje ya Jiji la Nairobi.

Barabara hii inajengwa na mkandarasi mchina aliyetafuta mwenyewe fedha za ujenzi. Na akimaliza ujenzi watumiaji wa barabara hutakiwa kuilipia kila wapitapo, yaani road toll.

Mkandarasi na financier wanalipwa road toll kwa miaka saba kabla ya mradi kurudishwa Serikalini. Katika muda huo mkandarasi mchina atafanya matengenezo yote yahitajiwapo. Hii ni Build Operate and Transfer(BOT) ambayo hata hapa Tanzania imezungumziwa sana. Kuna miradi inafaa kuigwa.

Tag: Kamwelwe, Mfugale

The Nairobi Expressway is ready for construction with all hurdles on existing infrastructure having been dealt with.
Transport Principal Secretary Paul Maringa has assured that the 27-kilometer expressway will not interfere with Uhuru Park.

Motorists using the road to be completed in the next three years will part with 300 shillings paid directly to the project financier.

After the public debt rose to more than 5.8 trillion shillings, the government has been keen to leverage on the Public-Private Partnerships to construct major infrastructural projects including key roads.

Ref: KBC web page

Niliona BOT nikafikiri ni Banki kuu ya Tanzania, kumbe ni kitu kingine toufati kabisa.
Nashauri watu wawe wanasoma uzi kabla ya comment.
 
Dr Dau Alipokuwa NSSF alikuja na mradi huo NSSF wakishirikiana na kampuni ya ki Malesia, ilikuwa wahenge barabara ya nyia 6 kutoka Dar hadi chalinze.

Inao yesha miradi mingi mizuri i imetupwa . Awamu hii tunatupa JONGOO NA MTI WAKE
 
Hatuwezi kumuuzia Nchi mchina sisi

Serkali itajenga barabara hiyo na itatoza kodi

Ni upumbavu wa hali ya juu kuruhusu beberu kukusanya kodi kwenye Nchi huru

Hivi mbali na kupanda mbuzi jike, beberu linauwezo wa kukusanya kodi?
 
Unajua ukiwa maskini unaishi kwa buku mbili kila siku, ije siku uskie kuna mtu anatumia laki moja kula chakula cha mchana tu, lazima uingiwe na kiwewe na kushangaa shangaa unavyoshangaa leo hii.
Barabara ya Thika Road haijapita mjini kati, tofauti na hii inayotaka kupasua maeneo ya karibu na kati.
Chukulia mfano tofauti ya Gharama ya ukitaka kujenga barabara ya juu itakayopitia Sokoine au Samora baina ya Hassan Mwinyi road.
Mkuu wengi wana mawazo ya kimasikini na hawataki kufikiria mambo ya maendeleo.
 
Wewe unachokitaka ni hiyo toll au ni barabara? Sababu ushamba mwingine niliojua unao ni ile hali ya kutaka ulichokiona mahali kifanyike Tanzania bila mantiki

Kwani serikali imekuambia imekosa pesa ya kujenga barabara, iwe kwa kukopa yenyewe au kwa pesa za ndani?

Hiyo barabarani unayoisifia Nairobi, ungejua wakenya wanataka kuandamana ili sijengwe sababu ni ufisadi mtupu, ni barabara fupi sana haizi kilometres 22 lakini imegharimu pesa ambazo zinatosha kujenga SGR kutoka Dar mpaka Moro na change ikabaki na mchina ataimiliki hiyo barabara mpaka 2055

Hiyo project ya Nairobi ni viable kabisa kwa sababu mkataba ni wa miaka 25. Kinachohitajika ni elimu kwa wananchi. Wenye mawazo pinzani watakuwapo, watatoa na kusikilizwa lakini mwisho wa siku faida kwa mradi wa mfumo huu ni kubwa kuliko hasara.
 
Niliona BOT nikafikiri ni Banki kuu ya Tanzania, kumbe ni kitu kingine toufati kabisa.
Nashauri watu wawe wanasoma uzi kabla ya comment.
Ni Build, Operate and Transfer na ndiyo options nzuri za ku- implement miradi mikubwa ya Public Private Partnerships. Mwekezaji ana buni, anajenga kwa hela zake, anaiendesha kwa kipindì kilichokubalika ili kurudisha hela yake,na baada ya hicho kipindi anaikabidhi Serikali.

Hivyo ikiwa chini ya Serikali inaweza kuondoa road toll stations ikiwa imeridhika na uwekezaji au inaendelea kidogo ili ipate vyanzo vya kukarabati barabara.

Hizo ndiyo economic models za infrastructures zinazoendelea sehemu kubwa za nchi za South East Asia na zina baraka za World Bank.
 
Jidu La Mabambas

Nchi nyingi zenye toll charges hawakatwi fuel levy. Huku kwetu badala ya toll ndio wameweka hiyo fuel levy ukicharge toll na fuel levy unakuwa unamcharge mtu mara mbili . Na tatizo la foleni hapa kwetu ni miundo mbinu ndio haijakaa vizuri sio kwamba magari niengi kihivyo.
Mkuu hili la kuwa na barabara zenye toll fee ni wazo la kuleta maendeleo ya hraka Zaidi kwenye miundombinu ya barabara, lakini tu matumizi ya barabara hizo ni ya kulipia.
Barabara za kujengwa na fuel levy ni za umma na ni bure kupita humo, lakini hizi za toll fee ni uamuzi wako kupita au la.
Fikiria una barabara za juu kwa juu (ya toll fee) na unawahi Ndege airport, barabara ya toll fee unalipa hata 1000/= na unawahi flight yako. Vinginevyo upite njia ya kawaida ukutanae na foleni kisha uamue kuchukua boda boda na begi lako kuwahi Ndege.
 
Back
Top Bottom