Recent content by X-men

  1. X-men

    JamiiForums Tanzania Nakodisha mashamba

    Ya kulima masika. Ila kama unataka ya mbugan labda ulianze mwenyewe toka tulinunue halijawah kulimwa
  2. X-men

    JamiiForums Tanzania Nakodisha mashamba

    50 kwa ekar
  3. X-men

    JamiiForums Tanzania Kozi za Afya zote ziwe na mafunzo ya kijeshi

    Labda niende bila kujitambua. Ila nikiwa na akili timamu hata kwa kafara hunipeleki
  4. X-men

    JamiiForums Tanzania Kozi za Afya zote ziwe na mafunzo ya kijeshi

    Hata kwa viboko siendi jeshin bora nibadili course
  5. X-men

    JamiiForums Tanzania Nakodisha mashamba mkoa wa Rukwa

    Ndiyo vinakubal huduma ya maj ipo kuna zamu ya umwagiliaj ukifka msimu na ni bure
  6. X-men

    JamiiForums Tanzania Nakodisha mashamba mkoa wa Rukwa

    50,000 kwa ekar yanafaa kwa mahindi, maharage alizet na viaz vitamu unyevu upo wa kutosha ila pembezon kuna mto pia karibu
  7. X-men

    JamiiForums Tanzania Nakodisha mashamba mkoa wa Rukwa

  8. X-men

    JamiiForums Tanzania Nakodisha mashamba mkoa wa Rukwa

    Habarin wakuu! Nakodisha mashamba mkoa wa Rukwa wilaya ya kalambo kijiji cha katuka karibu uwekeze kwenye kilimo kama upo interested mawasiliano yangu haya hapa 0766665515
  9. X-men

    JamiiForums Tanzania Nakodisha mashamba

    Habarin wakuu! . Nakodisha mashamba mkoa wa Rukwa wilaya ya kalambo kijiji cha katuka karibu uwekeze kwenye kilimo kama upo interested cont. 0766665515
  10. X-men

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aulizwa “Utafanya nini kukabiliana na vikwazo, Tanzania ikifanya biashara na Urusi”. Yeye ajibu “Hatuna Vikwazo vyovyote”

    Ww na lucas mwashambwa ni wale wale. unaona majibu yake yanaendana na swali aliloulizwa?
  11. X-men

    JamiiForums Tanzania Naendelea kuwaambia

    Mleta maada una umri gan ?
  12. X-men

    JamiiForums Tanzania Sharp Aquos

    Niliokota aquos R2 Kila fundi niliempelekea kuflash alichemka . Ni sim nzuri ila watu weng hawapendi single lain
  13. X-men

    JamiiForums Tanzania Urusi ilipozuia nafaka kelele zilikuwa kubwa.Israel imezuia vyakula vyote na maji wanaolia ni watu wa Gaza peke yao

    Hivyo vyombo vya habar vya kiyahudi na kimarekan vinasemaje kuhusu ugaid kama unavyosikia ww?
  14. X-men

    JamiiForums Tanzania Urusi ilipozuia nafaka kelele zilikuwa kubwa.Israel imezuia vyakula vyote na maji wanaolia ni watu wa Gaza peke yao

    Kwa akili zako siku za usoni utatimiza ndoto yako za kuwa gaidi mkubwa duniani, maana post zako zinawaza ugaidi 2
Back
Top Bottom