Recent content by Wuoy

  1. W

    JamiiForums Tanzania HESLB watoa awamu ya tatu ya mikopo 2015/16

    Samahani niwaulize kama profile yangu inaonyesha nimepata halafu kipindi hicho ilikuwa ni awamu ya pili na majina yaliyobandikwa chuoni sioni langu inakuwaje hapo?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Wale wa UDSM kabla hujaamua kupanga soma hapa

    Nauliza hivi kuanza tofauti na ada kuna gharama zingine zaidi zinazohitajika?
  3. W

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa mbona huna jipya? Tumechoka na hadithi za Richmond, tuna Escrow sasa

    Na ndio ina mtafuna hadi sasa anaona eti kachukuliwa nafasi yake.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Gesi Mtwara: Bibi wa Msimbati, nimeamini maneno yako

    Ha ha haaa ukweli watumie hapagizatu .
  5. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mkosi wa kupasukiwa na kondoms

    Kweli tuzo ni kama kumeza vidonge vya uzima.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Tcu hawatutendei haki

    Yani ninashinda sikuzote bila mafanikio haifunguki Cas.
  7. W

    JamiiForums Tanzania CCM ilihamisha mzoga ili kuondoa nzi!!

    Daah! Jamani nimecheka sana yani mmmmh.
  8. W

    JamiiForums Tanzania CCM ilihamisha mzoga ili kuondoa nzi!!

    Wame panic vibaya sana kwasababu inaonekana kuna madudu wanafanya yataumbuka zaidi ya yale yanayo julikana ndio maana wanaishia kutoa matusi.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Ndugu zangu wenye uelewa zaidi kuhusu hizi kozi anisaidie :- molecular biology and biotechnology pamoja na food processing and food technology .Nakazi wanapata wapi au ina husiana na nini sana .
  10. W

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Mkoa wa Mara kuna busara ya hali ya juu hakuna unafiki

    Nahisi unamuongelea yule darasa la saba ambaye hanaga hoja bungeni miaka yote mitano.
  11. W

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    Jamani nna tatizo yani niki log in ina niandikia the connection to the server was reset while page was loading.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar es Salaam muache hii tabia, mnakera

    Kweli aisee hii noma yani hawa watu wanazingua sana.
Back
Top Bottom