Recent content by Wu tang

  1. Wu tang

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Msaada kumpata huyo wakala
  2. Wu tang

    JamiiForums Tanzania Natafuta Business Partener

    Mkuu naomba Mungu akusaidie ufanikishe, sina uwezo wa kifedha ila nataman sana ningekua business partner/assistant wako kwan na mimi nimesomea fani hio ingawa sina uzoefu sana
  3. Wu tang

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine ya kusaga na kukoboa mahindi inauzwa

    Bro fungua uniajiri mimi nisimamie, kwa maeneo ya Iringa huku upatikanaji wa mazao ni rahisi sana
  4. Wu tang

    JamiiForums Tanzania Kuna usalama wowote katika kununua na kuuza hisa za DSE online?

    mimi pia natamani sana kuwekeza, ila sifahamu chochote.. naomba nieleweshe naanzaje
  5. Wu tang

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada hali yangu ishakuwa mbaya

    Kampuni yako ina deal na nini mkuu??
  6. Wu tang

    JamiiForums Tanzania Industrial eng. Udsm

    Mnaojua mtujuze basi...
  7. Wu tang

    JamiiForums Tanzania wale wa udsm tufamiane apa

    industrial engineering....... tufahamiane jamani
  8. Wu tang

    JamiiForums Tanzania facts. SUA,UDSM,MZUMBE

    whatever you hv said bt hivi vyuo ni atareee.... huez compare na hivo vyuo vyenu vya kata!!
  9. Wu tang

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    anatafutwa vp akat nmeshapatkana!!!!
  10. Wu tang

    JamiiForums Tanzania Ushauri PCM

    chunga sana physcs wengne hao kawaida sana.....
Back
Top Bottom