Haya mambo nyie acheni tuu , watu wanajiongelesha tuu humu , omba yasikukute , mchawi hapo ni kuoa mwanamke unayempenda , akitaka kukukimbiza hata ufanyeje atakupeleka puta tuuu ... Ni kubahatisha tuu pisi unaipenda ikakuelewa na ikawa haina mambo mengi basi utavimba , mwanamke ndo kiumbe pekee...