Recent content by Writter

  1. Writter

    Ulikuwa na ndoto za kuwa nani utakapokuwa mkubwa? Umeiishi ndoto yako au maisha yamekupeleka kwingine?

    T-shirt, Kofia na Earphone bei gani ndugu Ngabu? Tupe drip check za bei bila kusahau Computer hiyo
  2. Writter

    Love songs thread

    I'm going to count down my 10, best love songs ever, too emotional right now 10: Unbelivable- Crain David. Imagine!! Always said I would know where to find love Always thought I'd be ready and strong enough But some times I just felt I could give up But you came and you changed my whole...
  3. Writter

    Kitu gani umeshindwa kabisa kuacha

    Kiporo cha wali na maharage asubuhi, Iwe na chai ya rangi au maziwa halafu upashe maharage yapate moto kidogo uyamwage kwenye hoti poti la wali ni hatariiiii
  4. Writter

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Nimeweka like ya 40 hapo! Salute.
  5. Writter

    Video Director wa Matangazo ya Haki Elimu

    Wakuu kwema? Nimetoka kuangalia tangazo la huyu binti anayerudi shule baada ya kupata ujauzito, na kwamba ni kweli haki elimu ni matangazo bora zaidi ya Elimu kwa miaka mingi. Ni nani Mtayarishaji na Muongozaji? Imefika wakati watu kama hawa wajulikane na wapewe heshima zao na wapate nafasi...
  6. Writter

    Video Director wa matangazo ya Haki Elimu ni nani?

    Wakuu kwema? Nimetoka kuangalia tangazo la huyu binti anayerudi shule baada ya kupata ujauzito, na kwamba ni kweli haki elimu ni matangazo bora zaidi ya Elimu kwa miaka mingi. Ni nani Mtayarishaji na Muongozaji? Imefika wakati watu kama hawa wajulikane na wapewe heshima zao na wapate nafasi...
  7. Writter

    Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

    Tufunike wote, mahaba ya pwani waje wajifunze kwetu!
  8. Writter

    Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

    Tuanzishe couple yetu basi na mim niwe na baby!
  9. Writter

    TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

    I've got the same thoughts! very unfair!
  10. Writter

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    nimechoma 50 mzee! ila itarudi
  11. Writter

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Chukueni Odds 2.57 betpawa B313CFD Hela ya supu asubuhi hiyo
Back
Top Bottom