Khabari wadau... Swali langu ni fupi .. je kuna usajili katika kuanzisha biashara ya min restaurant ya chakula.. kama chips.. wali.. n.k..kama ipo njia ni zipi na certificates za usajili ni zipi na ngap??
Khabari za humu!.. nauliza process na gharama za ufungaji wa luku mpya kwa anayejua na mawasiliano ya mtu anayeweza kufunga luku mpya.. asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe we mtu wa Tanga.. sasa kama wewe mtu wa Tanga na bado anachepuka.. inabidi atafutiwe waarabu..
Ushauri wangu ni kwamba.. usipoziba ufa utajenga ukuta..
Kosa la dereva wa lori ni kujifanya mgumu kuendelea kuendesha wakati tairi moja lina pancha
Sent from my GT-N5100 using JamiiForums...
Hello wanajamvi.. ni siku nyingine tena tupo pamoja..
Kwanza vipi khali zenu?
Naomben kuuliza haya..
Hivi kuanzisha kiwanda cha kufyetua matofali ni vitu gani vinahitajika?..,
Je usajili unahitajika?
Na kama usajili unahitajika.. process zipoje?. Na ni document gan wanazohitaj ili kuweza...
Wana jamvi..
Leo nimefikiria mengi nikaona niangalie na mawazo ya wana jamvi wengine ambaye ni ninyi..
Hivi katika safari ya ndoa, kuna swala la uchumba na mahari..
Je ni mahari huanza, alafu uchumba, kisha ndoa..
Au ni sherehe ya uchumba (Engagement), ndo huanza kisha mahari alafu ndio...
Khabari wana jamvi hili..
Nikiwa na tabasamu lenye tumaini la uimara wa afya zenu, naomba nikunje miguu kama nyie jamvini kisha tujumuike pamoja..
Ewaah..
Akhsanteni..
Kabla hamjanipa chakula chenu, naombeni mtambue njaa niliyonayo..
Njaa kubwa niliyonayo ni ya kutaka kujua gharama za...
Khabari wana jamvi hili..
Nikiwa na tabasamu lenye tumaini la uimara wa afya zenu, naomba nikunje miguu kama nyie jamvini kisha tujumuike pamoja..
Ewaah..
Akhsanteni..
Kabla hamjanipa chakula chenu, naombeni mtambue njaa niliyonayo..
Njaa kubwa niliyonayo ni ya kutaka kujua gharama za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.