Unajua Tanzania ina siri nyingi sana. Sana. Hata ukiacha kifo tata cha Sokoine, kifo cha Karume pia ni tata, Mapinduzi ya Zanzibar yenyewe haya heleweki, kuondoka kwa Kambona, kupotea kisiasa kwa Bibi Titi, kufa kwa akina Sykes, mengi mengi ni siri. Na hii yote ni kwasababu Nchi kama Nchi yeyote...