chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 15,138
- 25,877
Nimeleta hii hoja ili kupata ufafanuzi wa wanajukwaa.
Sheria mara zote ina "consequences", tumesikia watu wakifanya makosa au kujaribu kufanya makosa(attempt)
Wote hao wana adhabu zao
Hili la juzi la kuteua wabunge naona linapita tu,linapotezewa tu,wakati tuliona attempt dhidi ya katiba,barua zipo na kila kitu.
Hivi kikatiba hakuna adhabu/sanctions?