Recent content by Wnder

  1. W

    PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

    Matumbo Yao yakishajaa ndio wanaona nchi inaendelea.
  2. W

    Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

    Wameamuwa kuvuruga timu yetu
  3. W

    Jeshi la Israel Limelipua makao makuu ya Hezbollah Beirut wakati Netanyahu anaendelea kutoa speech umoja wa mataifa

    Inamaana taifa Moja Lina majeshi mawili hao Hezbollah si wana masilaa mazito mazito kabisa Hilo limewezekanaje?
  4. W

    Nimejichanganya kuoa mwanamke mwenye mimba

    Nakubaliana na wewe 💯 Kwa muda niliokaa nae nimemkifu kwahizo dharau.
  5. W

    Nimejichanganya kuoa mwanamke mwenye mimba

    Story yakweli kabisa mkuu. Nilijichanganya nikahisi kama namsaidia kumbe nilikuwa nimepotoka. Mambo aliyonieleza ni mengi sana yaliyomsibu mpaka sasa ana miaka 20 alitoka kwao akiwa na miaka 17 akapelekwa mjini kufanya kazi kazi yenyewe bar.amekutana na wale wauzabaa konki wakamfunza udangaji...
  6. W

    Nimejichanganya kuoa mwanamke mwenye mimba

    Watu wake siwajui. lakini aliniunganisha na mama yake tukawa tunawasiliana Kwa simu
  7. W

    Nimejichanganya kuoa mwanamke mwenye mimba

    Ndugu wako sumbawanga sisi tuko tanga
  8. W

    Nimejichanganya kuoa mwanamke mwenye mimba

    Nishauri mkuu nimekwama
  9. W

    Nimejichanganya kuoa mwanamke mwenye mimba

    Mwezi watano katika mihangaiko yangu nikakutana na mdada mmoja nikamwelewa tukayajenga mwisho tukakubaliana kuishi pamoja. Alinieleza changamoto zinazomkabili huku akiwa na mimba ya miezi 2 anasema baba wa mtoto wamepotezana ni watu waliokutana katika kudanga hivyo hajui namna ya kumpata...
Back
Top Bottom