Recent content by wizzo siambiliki

  1. W

    Sperms za mwanaume huwa zinaenda wapi?

    hapana kukojoa haziwez kutoka maan shahawa huwa zinaenda kwenye njia tofauti kabisa na njia ya mkojo
  2. W

    Sperms za mwanaume huwa zinaenda wapi?

    shahawa ,baada ya tendo la ndoa zinatoka haijalishi mwanamke yupo kwenye ovulation au la!itakayorutubisha ni sperm moja au mbili kulingana na mayai yaliyo tayari kurutubishwa....je zinatokaje? kwa kawaida mwanamke hutoa maji maji na hii ni kawaida kwa wanawake na ndio maana wanashauriwa kuwa...
  3. W

    Natafuta simu samsung s5, Budget ni tsh laki 2

    wewe unaambiwa ukwelii s5 kwa laki mbili labda kwa kibaka but in reality huwez pata labda yale ma tecno
  4. W

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    nisaidieni jina la application ya ku bet through phone...
  5. W

    Harakati za Makonda kupambana na Mihadarati kuzimwa?

    Hivi Mh. Makonda anachokifanya ni sahihi?jibu ni ndio BUT kwa nini anapata strong opposition's kutoka kwa viongozi wenzake??TUSHIRIKISHANE ni kwa nn akina nape na akina musukuma wana mpinga ???????
  6. W

    Joseph K. Musukuma(Mb): Makonda awekwe ndani aseme anatoa wapi pesa ya kusafiri USA, UK na Dubai

    in reality makonda amafanya vyema but najaribu kuelewa kwa nn anapata vipingamizi ving sanaaaa
  7. W

    Hili la kutokuwepo field kwa first year ni kwa kozi zote?

    typing errors mkuu..halafu aliye kuambia nasoma kiswahili nani...??boo shit
  8. W

    Hili la kutokuwepo field kwa first year ni kwa kozi zote?

    ila shida ni kwamba wengine tunatakiwa tuende field mwezi wa pili hapo cjui inakuaje na fedha za kujikimu(bum) hawatatoa?
  9. W

    Hili la kutokuwepo field kwa first year ni kwa kozi zote?

    waliniambia ntapata fedha ya field but kuna taarifa inasambazw kuwa huyu mama katangaza kuwa hakuna field kwa first year's
  10. W

    Hili la kutokuwepo field kwa first year ni kwa kozi zote?

    Nimepata taarifa kuwa hakuna field kwa first year ..je ni kwa faculty zote au ni baadhi je vipi kwa wanaosomea ualimu hatutaenda field??msaada wenu wakuu
  11. W

    Rais Magufuli: Serikali yangu haitayafumbia macho magazeti mawili yanayoandika habari za uchochezi

    heshima kwako mtukufu...unawatisha ili nao wakusifie kama wale....
  12. W

    Nawezaje kusoma course nyingine baada ya kumaliza chuo

    Nimekuja chuo kusoma bachelor of science with education but haikuwa priority yangu... Je ninaweza kusoma course nyingine baada ya kumaliza chuo? Msaada jamani.
Back
Top Bottom