LEWANGANGUMU
JF-Expert Member
- Feb 19, 2016
- 281
- 163
nmeipendaaa hiiKikubwa ni kupendana kama mnapendana basi miili yenu inakuwa na connection kubwa kama sumaku. So fall in love na mtu sahihi sio ku fake mapenzi. Wanawake wa mjini wanapenda pesa kitu ambacho kinamtoa akili yake wakati wa tendo maana anawaza shughuli imalizike apewe pesa. Lazima huwezi kusikia utamu tuliza akili uone utamuu utakao pewa. Kikubwa kuwa na mtu chaguo lako na mtu sahihi na mwanamke ukimpenda mwanaume hana haja ya kukuandaa sana. Maana ukimuona tu au akikugusa tu unajikuta tayari umeshalowa. Mwili wa mwanamke umejaa hisia so cheza na saikolojia yake mpe maneno mazuri, spoil her na mfanye ajisikie ni mtu special. Mkiwa kwenye gari jaribu kucheza nae michezo midogo midogo, akiwa anapika msogelee mkumbatie kwa nyuma, mkienda kuoga ogeni wote na mara nyingine mshtukize kwa kumng"ata hata tak" au maziwa mkiwa ndani wenyewe. Hii inasaidia kumuandaa kisaikolojia. Tatizo linakuja mnakutana wote hamna mapenzi mwanaume anawaza ngono mwanamke anawaza pesa. Hata mahaba hakuna kati yenu kwa hali hiyo mtaendelea kusikia mapenzi kwa wenzenu tu.
inabidi niifanyie kaz