wizzo siambiliki
Member
- Jan 7, 2017
- 15
- 8
Nimekuja chuo kusoma bachelor of science with education but haikuwa priority yangu... Je ninaweza kusoma course nyingine baada ya kumaliza chuo? Msaada jamani.
kama ipi mkuu maana kidogo changamotoKwasababu ni with eduaction unauwezo sana tuu
Unaweza kusoma kozi nyingine pia unaweza kusoma shahada(degree) nyingine.nimekuja chuo kusoma bachelor of science with education but haikuwa priority yang ... je ninaweza kusoma course nyingine baada ya kumaliza chuo?msaada jaman
Unasomaje koz ambayo hujaridhika nayo, acha chuo haraka sana uje uombe upya, UWEZEKANO upoNimekuja chuo kusoma bachelor of science with education but haikuwa priority yangu... Je ninaweza kusoma course nyingine baada ya kumaliza chuo? Msaada jamani.