Habari zenu,
Naomba kujuzwa jamani,
Mimi sina matatizo ya macho ila nilitamani kuvaa miwani za kawaida tu {zab kununua kwa machinga}. Ila tatizo linakuja, kwanini kila miwani ninayoijaribisha naona kama inakiji-lens ya kuvuta kwa mbali?
Yaani ukiiweka miwani yoyote usawa wa macho alafu...