Recent content by wizardxp

  1. wizardxp

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!

    Kwahiyo wanaendelea kusema ukweli au wameishia hapo tu
  2. wizardxp

    JamiiForums Tanzania Mafuriko makubwa mjini Ifakara leo Mei 5

    Poleni sana ndugu
  3. wizardxp

    JamiiForums Tanzania Familia mbili za anunaki ndio zinasumbua dunia hii hadi leo

    Nadhani ulishawasikia kuwa mvua ikinyesha wakati jua linawaka basi Simba anazaliwa au Mama mjamzito haruhusiwi kula mayai,. Hizo zote hadith zilikuwepo until zakawa proven otherwise. Kwahiyo hata unachoongea kinaweza kuwa story kama zingine mpaka ziwe proven
  4. wizardxp

    JamiiForums Tanzania Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

    Umeongea kulingana na uelewa wako,! Dini sio kigezo cha wewe kutokua na akili ya ubunifu. Unaweza fanya vitu vikubwa na bado ukawa na dini yako.
  5. wizardxp

    JamiiForums Tanzania Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

    Kubisha hukukufanyi kujua? Weka hizo contradiction, then wanaojua watakujibu
  6. wizardxp

    JamiiForums Tanzania Wizi wa laptop na simu ndani ya mabasi Morogoro

    Kumekua na wizi wa laptop na simu ndani ya mabasi pale Morogoro pindi watu wakishuka kwenda kutafuta chakula. Mara nyingi hutokea kwa mabasi yanayopita muda wa jioni, zaidi hutokea kwa mabasi yanayotoka Dodoma. Nimeona sio vizuri kutaja aina ya mabasi hayo. Nini kifanyike kupunguza kero kama hiyo?
  7. wizardxp

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Ndoto yangu ni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Bora kuchagua jiwe
  8. wizardxp

    JamiiForums Tanzania Bila udikteta wenye akili Afrika hatutaendelea. Demokrasia ni mtego uliotunasa

    Hakuna democracy duniani! grow up. ni mchezo wa kiuchumi. Mnagombania uongozi mnasahau maendeleo
  9. wizardxp

    JamiiForums Tanzania Someni hii taarifa, wale ambao mna tabia ya kuwashabikia Wazungu na kuwatetea msipobadilisha msimamo wenu, basi mmelogwa

    Soma kwanza hiyo habari yako vizuri, alafu uifupishe Sent using Jamii Forums mobile app
  10. wizardxp

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Kwanini hakuna kingine tena mpaka saivi, kama binadamu anaweza Sent using Jamii Forums mobile app
  11. wizardxp

    JamiiForums Tanzania Waislamu tuwe makini na watu kama akina Ponda na mfanowe

    Kama umepana sehem kwa biblia imeandikwa hayo maneno tuonyeshane, na kama hamna usiseme dini zote Sent using Jamii Forums mobile app
  12. wizardxp

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, bikra inaweza kutoka bila kukutana na mwanaume? Na kwanini wasichana hawapendi kuulizwa hili?

    Kwani wewe unapenda kuulizwa idadi ya wasichana uliopita nao ?
  13. wizardxp

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili niache kubet?

    Wape wenye shida hiyo hela
  14. wizardxp

    JamiiForums Tanzania Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

    [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  15. wizardxp

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Kweli Kuna kitu ambacho mkuu anapewa na mkuu wa mkoa
Back
Top Bottom