Recent content by Wiwachu

  1. Wiwachu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unataka kutongoza bila kukataliwa?

    Nasemaje jamani wanaume tutafute hera ukiwa na hera hakuna mwanamke utamtaka akisumbue achilia mbali kukunyima.
  2. Wiwachu

    JamiiForums Tanzania Ukiona Dalili hizi Kwenye Simu Yako, Jua Kuwa Uko "hacked"

    Asante kwa taarifa ndugu.
  3. Wiwachu

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Yanga itakuwa Klabu ya Tatu nchini kutumia VAR baada ya Simba SC na Simba Queens

    Sawa sawa mwanasimba mwenzangu.
  4. Wiwachu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake Wengi ni washamba! Vijana kuweni makini

    Mkuu acha kulia lia na kutia huruma mimi ni maskini kama wewe lakini tusiridhike na hali hii mkuu nasemaje tutafute hera ukiona ni gharama sana kumhudumia mwanamke ujue huna hera hamna wanamke mzuri ambae hana gharama.
  5. Wiwachu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini anakupotezea kwenye sms lakini mkionana anakuchangamkia

    Safi sana umewasaidia wavulana wengi madomo geze na wengine maneno mengi lakini kwa demu hawana maneno ya ushawishi utakuta mtu anatongoza demu mwaka mzima na haja pata nyapu wanakuja wengine wanatongoza mda mfupi na wanapata mbunye yeye yupo tu.
  6. Wiwachu

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Fiber ya TTCL

    Uniite mbwa nmekaa pale
  7. Wiwachu

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale NAUZA SMARTPHONE OPPO R7 PLUS

    Ingekuwa bado ipo si angekuwa online kashauza huyo
  8. Wiwachu

    JamiiForums Tanzania Tambua haya kuhusu ku-update simu yako

    Kuna kitu ulitaka kutufumbua ila umeamua kuishia njiani natamani uendelee ili tupate kile ulichotaka kutujuza.
  9. Wiwachu

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mkuu ttcl nayo ina vifurushi vipi kwa sasa ambavo ni vizuri sawa na huvi bua SmE ya airtel naomba fafanua kidogo kama hutajali kwa yeyote anaefahamu atusanue jmn hali ni ngumu
  10. Wiwachu

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hata mm nataka kujua ndo laini gani hizo na nazipataje?
  11. Wiwachu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji simu ya kutoka kampuni ya Xiaomi

    Akikujibu unitag nmekaa pale
  12. Wiwachu

    JamiiForums Tanzania Kama unatumia smartphone yenye Type-C fanya haya

    Angalau nmeambulia kitu hapa
  13. Wiwachu

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo Baada ya Kushindwana na Mwekezaji

    Kama ni kweli hizi kwangu ni habar njema
  14. Wiwachu

    JamiiForums Tanzania SI KWELI DStv wapandisha gharama za vifurushi kwenye king'amuzi kutokana na tozo za Serikali

    Kupanda wanakubali wamepandisha ila sababu ya kupandisha ndo wanakataa kuwa sio sababu ya tozo kumbe ni sababu ya nini!!?? Yaani serkal inaogopwa na wawekezaji hivi je mwananchi wa kawaida inakuwaje sababu ni hiyo hiyo ya kodi na matozo ila hawawezi kusema hapa walikatazwa wagugumie kimya kimya...
  15. Wiwachu

    JamiiForums Tanzania Nini kinakuvutia zaidi katika simu janja(smartphones) kutoka kampuni ya Samsung?

    Hera ngapi mkuu ulinunua
Back
Top Bottom