Recent content by Witted Jc

  1. Witted Jc

    Je, Watu waliokufa wana nguvu kuliko walio hai?

    Adamu alikuwa wapi kabla Mungu hajamuumba kutokana na mavumbi? Hakuwa popote. Hakuwa kiumbe wa roho huko mbinguni, ambaye baadaye angezaliwa akiwa mwanadamu. Hakuwa popote. Mtu akifa, uhai wake unakoma. Kifo ni kinyume cha uhai. Kwa hiyo, mtu akifa haendelei kuishi mahali pengine, hisia na...
  2. Witted Jc

    Wanyama ambao sio binadamu, waliingiaje katika adhabu ya kifo baada ya Eva/Hawa na Adam kutenda kosa la kula tunda?

    Binadamu, kutokana na dhambi iliyotendwa hapo mwanzo wanakufa. Kwa nini na wanyama wanakufa? Je, wanyama nao walitenda dhambi? Hapana. Kutenda dhambi ni kufikiri, kuhisi, au kufanya kitu ambacho kinavunja viwango vya Mungu. Ili kutenda dhambi, kiumbe anahitaji kufanya uamuzi, lakini wanyama...
  3. Witted Jc

    Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

    Nyakati nyingine baadhi ya viongozi wa dini huwafanya watu wafikiri kwamba Mungu ni mkatili. Jambo baya linapotokea, wanasema ni mapenzi ya Mungu. Wanasema kwamba Mungu alipanga jambo hilo litokee. Wanaposema hivyo, kwa kweli wanamlaumu Mungu. Hata hivyo, Biblia inafundisha kwamba Mungu si...
  4. Witted Jc

    Jinsi kipindi cha redio kilivyosababisha niache kutumia sukari

    Si sukari tu, hata chumvi ina shida. Hasa ikitumika kwa wingi. Haujawahi kusikia msemo wa watu wa afya?... " Sugar and salt are sweet poisons "
  5. Witted Jc

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    JE, WAJUA ? Ni vigumu sana kwa watu wenye mwenendo mpotovu kingono kuacha tabia hiyo eti kwa sababu wamefunga ndoa. Lakini kuna uwezekano mkubwa kwamba wale ambao ni washikamanifu kwa viwango vya Mungu vya maadili kabla ya kufunga ndoa watakuwa washikamanifu kwa wenzi wao baadaye.
  6. Witted Jc

    English learning thread

    Neno moja linaweza kupatikana katika aina tofauti za maneno. Seeing = conjuction. Seeing= gerund ( noun in dictionaries). Seeing= verb after adding "ing" (doing verb/ present participle ) . It is another form of the verb "see" . Other forms are : sees, saw, seen. But in this case, "...
  7. Witted Jc

    Ni kifungu gani kinamlazimisha mwanaume wa kikristo kuwa na mke mmoja?

    Mungu huyo huyo kwa uwezo wake anaona na kujua mabaya yote yanayotendeka au anayotendewa, bado anavumilia na uwezo wa kufanya chochote anao bila binadam kutambua. Fikiria : wewe ungekua na uwezo mkubwa wa kufanya jambo au mambo hata bila yeyote kutambua kilichotokea. Ikatokea mtu au watu...
  8. Witted Jc

    Ni kifungu gani kinamlazimisha mwanaume wa kikristo kuwa na mke mmoja?

    Inawezekana / huyo atakuwa mvulana. Bado hana sifa za kuanzisha familia. Hatoweza / itakuwa ngumu kusimamia nyumba yake mwenyewe.
  9. Witted Jc

    Ni kifungu gani kinamlazimisha mwanaume wa kikristo kuwa na mke mmoja?

    Kwa kipindi fulani, Mungu aliruhusu mwanamume awe na wake wengi. (Mwanzo 4:19; 16:1-4; 29:18–29 ) Lakini Mungu hakuanzisha mpango wa mwanamume kuwa na wake wengi. Alimpa Adamu mke mmoja tu. Mungu alimwagiza Yesu Kristo akazie mpango aliokuwa ameanzisha awali wa mwanamume kuwa na mke mmoja...
  10. Witted Jc

    Kwani wazungu wana nini ambacho waafrika hatuna: What is the missing link?

    Tatizo si ngozi. Kuna wachache wenye ngozi nyeusi ambao huwezi kuwatofautisha na wengi wenye ngozi nyeupe. Tatizo ni wengi wenye ngozi nyeusi ubongo wanao ila uwezo wa kutumia huo ubongo (akili) kikamilifu ni duni kulinganisha na weupe wengi. Kama nilivyosema, wazungu wengi na watu kutoka...
  11. Witted Jc

    Kwani wazungu wana nini ambacho waafrika hatuna: What is the missing link?

    Big brains + wisdom: wakifukuzana na Wajapan, Wachina, Wakorea na wengine toka Asia.
  12. Witted Jc

    Siku za mwanadamu kuishi hazijapangwa na Mungu, bali utakufa kutokana na kazi na mazingira yako.

    Mungu hapangi kifo. Kifo ni kama laana / adui aliyefunguliwa baada ya matendo ya binadamu (uasi sheria) . Mungu anayeua ni Mungu mkatili yaani licha ya ile sifa ya "Muumba" aongezewe nyingine +"Muuaji". Mfano, mtu mmoja anakufa kwa kupigwa risasi. Kama utasema sababu ya kifo hicho ni Mungu...
  13. Witted Jc

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Aisee! Nakumbuka niliwahi kujaza dramas za GB 300 + Virus, na Window ikaja collapse
  14. Witted Jc

    Melchizedek na utata unaomzunguka

    The fact remains that Melchizedek’s nationality, genealogy, and offspring are left undisclosed in the Scriptures, and that with good reason, for he could thus typify Jesus Christ, who by Jehovah’s sworn oath “has become a high priest according to the manner of Melchizedek forever.”— Heb 6:20...
Back
Top Bottom