Recent content by witnessjulius

  1. W

    JamiiForums Tanzania Mama Zitto atoa ya moyoni, alitamani mwanaye afukuzwe CHADEMA

    Mmmmhhhh!mama haya mambo muachie hyo zito na wanachadema Ww kma mzazi wapaswa kuongea na mwanao tu na si wandishi huku utajibi visivyo matokeo yake nikujivunjia heshma ,na kumdhalilisha zito ,Ww kma umefurahi basi furaha yko ishie nyumbni ,angalau angeongea baba mmmmmhhhh!hapo jilaumu na kama...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Sijajiuzulu uongozi CHADEMA-Prof.Baregu

    Wpi card za uwanachama tutapata za chadema ,tunapenda watu wnye msimamo wasio nyenyekea wageni wala kuangalia umaarufu wa mtu nchi yetu nitajiri sana kwanini tunyanyasike msitetee ujinga wenzenu wananeemeka nyie mnabaki kulumbana bila revolution hamna kitu ,
  3. W

    JamiiForums Tanzania Wapare, Wachaga: Matambiko yamepitwa na wakati

    Nimpare wa ndungu huko huko kwa mama Anah .,mwmbie kwanza mcheza kwao hutunzwa mtu gn hajivunii kwao hela nihakundie kaya kangi ahuje .
  4. W

    JamiiForums Tanzania Nakimbia ndoa-Naogopa kuua

    Kaka hayo nimapito na mungu atamlipa Sawa na ujira wke,cha msingi kaza buti wewe siwakwnza wala hutakua wa mwisho ,mdharau jbu zuri Ningumu ila jitahidi usimuulize aingiapo wala atokapo siku unakifaa lala,nilishamwambiaga shangazi angu narudi nyumbni ndoa imenishinda nikamwmbia mbna Ww umepata...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Beauty is in the eyes of the beholder

    Utamu wa mume ajuae mke .na mwanaume hasifiwi uzuri ,
  6. W

    JamiiForums Tanzania Nakimbia ndoa-Naogopa kuua

    Ulishawaambia wazazi wapnde zote mbili lbda ?
  7. W

    JamiiForums Tanzania Nakimbia ndoa-Naogopa kuua

    Kwnza Ww nijasiri umfumanie mara 7 naumevumilia pole umeumia sana , usichukue maamuzi magumu yatakayotesa watoto wko usiondoke utampa kichwa jibu la mjinga nikimya kupiga muache kwn toka umempiga hajajirekebisha huyo nimshenzi na limbukeni , muonyeshe shoo kwanza pigana upate kazi hukuukiwa...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Wapare, Wachaga: Matambiko yamepitwa na wakati

    Samahani Kaka mm mpare tena msuya kwa baba na mbwambo kwa mama nikoo tofauti kabila 1cjawahi kuona hzo mambo usituharbie kabila na huko kukatwa Ww ndo ngariba ulisibitisha hyo tafuta lkuongea ,kwnda kila mwsho wamwaka nyumbni lzma mwenda kwao si mtoro kma Ww huendi kwnu utajijua lbda hapakuvutii...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Serikali baada ya wafanyabiashara wa Kariakoo kugoma kununua Mashine za kutolea Risiti

    Poleni sn ndugu zetu gomeni mpka kieleweke wamezidi kutuburuza,
  10. W

    JamiiForums Tanzania Chuki ya wanasiasa kwa Tume ya Katiba na kifo cha Dr. Mvungi

    Mtanzania mwenye uchungu nakuumia juu ya mwenzke huwezi kuogopa kuongelea hli swala imetuuma sna huu c msiba wawa pare wala wavungi niwakitaifa *funguka kadri uwazavyo #
  11. W

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Rais atakayewafaa Watanzania kwa awamu ya Tano-by James Millya

    Naamini umeumiza kichwa kufikiri hya hongera sna naunachosema nisahihi mm nimetembea vjiji nikaona watu watesekavyo nikajikuta nikisema hii si (TANZANIA HURU WALA YENYE USAWA NA VIONGOZI WENYE UCHUNGU NA WAZAWA ) mungu atupe kiongozi mwenye hofu ya mungu nakukumbuka Tz ilikotoka ,
Back
Top Bottom