Recent content by wisewords

  1. W

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kuiondoa CCM madarakani?

    Shida ni kwamba, CCM wanaamini Wana hela, watz Wana njaa, kwa hiyo hako Ka tread, CCM wanaamini hamna WA kukavunja. Na ni kweli
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama kuu ya Kenya yaamuru ADANI asijihusishe na Shughuli yoyote nchini humo! Tanzania tuna la kujifunza au Wao wajifunze kwetu?

    Watz hamna cha kujifunza zaidi ya uchawa
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kuhusu bei za vitu

    Sijaelewa
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kuhusu bei za vitu

    Naomba kupata uelewa. Ni kwa nn bei za vitu Zanzibar ni cheap kuliko huku kwenu bara nyie watanganyika
  5. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024

    Ila kukwama kwa maandamano sio failure ya chadema,mbowe wala lissu peke yake. Ni failure ya wote kama nchi. Matatizo kila kona,lkn watu kupaza sauti nibkipengele. Polisi mnaokamata wala sio wenye vyeo vikubwa, maisha yenu tunajua. Mnaona Raha kupromote interest za CCM ikiwa ni pamoja na viongozi...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Jenga na Sisi Dragon Mabati

    Tofauti ya bei mwanza na dar ni ipi
  7. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa umemsikia Nape Nauye?

    Kweli kabisa. Na wananchi wa bukoba manispaa kabisaaa,wakashangilia
  8. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yafanya mikutano ya hadhara 166 kanda ya Kaskazini, Wananchi waiahidi kura za Kutosha

    Kwa ccm yule ni hero. Kwa nn atenguliwe
  9. W

    JamiiForums Tanzania CV ya Asumpta Mshama

    Ana maji sana
  10. W

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Polisi: Watu waliozilipua ofisi za IMMMA Advocates waliwadanganya walinzi kuwa wao ni askari

    We unawajua? Waambie bas wawashughulikie
  11. W

    JamiiForums Tanzania Zuio la Kongamano la Demokrasia: Edward Lowassa azungumza na Wanabari

    Bora wakataze, hatua mda wa kusikiliza bullshit.., acha tuendelee kulijenga taifa
  12. W

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kutua Bukoba kesho Jumapili, kuhutubia wananchi Jumatatu

    Hilo halituhusu
  13. W

    JamiiForums Tanzania Familia ya Malecela kuitosa CCM?

    .
  14. W

    JamiiForums Tanzania Tetemeko Kagera: ACT-Wazalendo walaani msimamo wa Serikali kutosaidia wahanga

    Totally wrong.., hii nchi ilipofika ni pabaya, ukiwa na nchi ambayo wananchi hawana nguvu ya kuiwajibisha serikali, haya ndio matokeo yake. Me sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu angesikia kama lengo la hizo fedha na bado angechanga. Watu tulitoa tukijua zinaenda kwa wananchi, serikali...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Maafa Kagera: Ugali wa sumu waua mama na watoto wanne

    Mungu mwingi wa rehema awape raha ya milele..,EVERYTHING HAPPENS FOR A REASON
Back
Top Bottom