Recent content by Wisest man

  1. W

    JamiiForums Tanzania Amini usiamini leo ni birthday ya Kalapina

    Hivi hiyo miwani ya jicho moja ni fasheni au ana tatizo?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Yoga Pranayama Cures 140Diseases

    Yoga Pranayama Cures 140 Diseases - Swami Ramdev Ji on Indian TV Channels Creating a "Disease Free Society - Medicines Free World" Swami Ram Dev Ji has been daily declaring on Indian TV Channels, since the year 2002 that Patients of so called incurable diseases like Diabetes, AIDS, Cancer...
  3. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tusidanganyike, make-ups, mawigi na lip sticks ni uongo mtupu.

    Hao sio wanaume, ni wanawake tu wenye jinsia ya kiume.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kitunguu swaumu; Kinga ya saratani, malaria

    Mkuu unajua kwamba hata msongo wa mawazo unasababisha ukosefu wa choo?
  5. W

    JamiiForums Tanzania Ulipoingia ndani ya 18 ya wanajeshi wetu, walikufanya nini?

    Kumbe povu linakutoka kwa sababu wewe ni wale wa"hela ya kubrush" hahaha.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Ulipoingia ndani ya 18 ya wanajeshi wetu, walikufanya nini?

    Pasco msaidie kijana huyu.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Ulipoingia ndani ya 18 ya wanajeshi wetu, walikufanya nini?

    Yaani umegonga kwenyewe. Siku hizi wanaiga kubeba back pack kama wajeda na kuna magari yao wameanza kuyakoleza rangi ya kaki iliyoiva ili yaonekane yanafanana na magari ya wajeda hahaha.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Ulipoingia ndani ya 18 ya wanajeshi wetu, walikufanya nini?

    Watakameshwa na nani wakati wanajeshi ndo wenye kauli ya mwisho?
  9. W

    JamiiForums Tanzania Afande Sele amlipua Zitto Kabwe kuhusu tuhuma za Ufisadi wa NSSF

    Jamaa ameanza kuwageuka wenzake.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Ulipoingia ndani ya 18 ya wanajeshi wetu, walikufanya nini?

    Jifunze kuelewa maana ya jeshi. Wanajeshi wana sheria zao, wanaweza kumkamata mtu yeyote na kumfungulia mashtaka na kumhukumu bila kufikishwa unakojua wewe. Jeshi ni serikali kamili na ukivunja kanuni zao ukiwa kwenye maeneo yao ya kazi huna pa kwenda kulalamika kwa sababu wanaweza kukukamata...
  11. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tusidanganyike, make-ups, mawigi na lip sticks ni uongo mtupu.

    Mkuu kumbuka wengine wameshaolewa tayari.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Polisi feki adakwa Mwanza

    Ukishikwa umevaa uniform za jeshi umejiroga.
  13. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tusidanganyike, make-ups, mawigi na lip sticks ni uongo mtupu.

    Sasa kuna mabinti wazuri kweli, wapo natural, sijui wakiamua kujivika hayo makitu sijui kama kutakalika. Hebu mlinganishe Jokate Mwegelo na Wema sepetu utaona tofauti. Jokate hata akiamka asubuhi na kuoga kisha kupaka mafuta ya nazi bado uzuri wake utabaki vile vile.
  14. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kumbe mwanamke anaweza akampenda mwanaume

    Vipi kwani? Umependa ?
  15. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tusidanganyike, make-ups, mawigi na lip sticks ni uongo mtupu.

    Ni kweli. Kamwe usidanganyike kwa kuiona picha tu. Unajua mtu hadi anakubaliana na halmashauri ya kichwa chake ku-post picha fulani anakuwa ameshachagua picha moja miongoni mwa elfu moja ile inayoonekana kumtoa vizuri hapo bado hajaongezea na editing ya camera 360.
Back
Top Bottom