Ukija kumpima unaweza kukuta utetezi wake anamatatizo ya akili yaliyosababishwa na msongo WA mawazo,ajira hakuna so akaiba nguo za polisi anaemjua.
Mwenye akili hawezi vaa kama huyu jamaa.
Utetezi wake utakuwa hana akili na uchizi wake ukamfanya kuwa obsessed na upolisi so akaiba nguo za anaemjua kutimiza kiu yake.Hapo mwenye uniform anaficha jambo.
Mtupio wa mwendokasi.du hicho kiatu na trouser kwa ndani heavy sana ashukuru ni za police ingekua ni za wajeda mbona angeipenda hicho kichapo chake cha awali na hiyo 1kati ya 4 ingekaa sawa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.