Jiridhishe kama hilo tukio wamefanya kweli. Ikiwa wamefanya kweli wanastahili kulipa lakini kwa utaratibu wa kiserikali na mpewe na risiti. Hakuna uhalali wa kuaribu Mali za shule kwa sababu yeyote ile. Lakini ikiwa wameonewa na si kweli basi liwasilishe kwa Afisa Elimu litashughulikiwa haraka.
Umeandika vizuri. Lakini hayo yoote yanawezekana kusemwa na yasilete madhara, inategemea unasema wakati gani, unayasema namna gani na "bond" mliyo nayo kati yenu. .
NB: rekebisha namba 7. Mke Aoi, anaolewa.
Kuna wakati waandishi wa habari humuuliza maswali ya mtego ili atoe matamshi yenye utata ambayo yatamuadhibu baadaye. Kwa bahati mbaya sana bado hajagundua hili, ananasa kila mara.
Huwezi kuwa huru ikiwa bado mtumwa. In Africa Siasa za kubembelezana, hekima ya kinafki na demokrasia ya uongo vimechangia kufikia hapo. China ni socialist country which practice positive development dictatorship mannerism ambayo huleta effective success.
Kama walivyoita Press kutoa malalamiko yako basi wanatakiwa kutoa mrejesho wa mazungumzo yao ili wananchi wajue mbivu na mbichi. Safari ya "Kazi na Utu" ni ndefu.
Si rahisi kuweka bango hilo kutafuta mke tena wa kabila fulani specifically. Inawezekana kabisa nyuma yake kukawa na Agenda ingine isiyozungumzika. Mungu awalinde wadada wa rombo wasiingie kwenye huo mtego.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.