Recent content by Wise Person

  1. Wise Person

    Kwa kina dada: Usikubali kuvalishwa pete ya uchumba au kulipiwa mahari, hadi...

    Yes endelea.. Ili watu wapate ufahamu, uelewa na ukweli uwaweke huru
  2. Wise Person

    Rafiki yangu amenichongea kwa mke wangu

    Simpo..Msamehe tu. Msamehe huyo rafk ako Msamehe pia Dr Slaa..Kuhusu huyo rafiki ako unatakiwa ufikiri kwa mapana au uwe na Mawazo chanya pia badala ya kuwa na Mawazo hasi pekee.. Mfano: Chochote kibaya kingekupata usiku huo Mkeo angekuwa na taarifa na angejua ataanzia wapi. Kingine baada ya...
  3. Wise Person

    Niko sawa ama Nilikuwa Bwegee...!?

    Sio ubwege ni Ujanja..
  4. Wise Person

    Alinipenda kweli ila kwa haya nimeshindwa kuwa nae tena

    Hukuwa sahihi. Kama sababu in hiyo tu? Labda hukumpenda kwa dhati au kiasi kile yeye alichokupenda.. Serious hyo sio sababu ya msingi ya kukufanya umuache. Coz kwenye love Luna changamoto zake.. Zipo nyingi lkn kwako hiyo ilkua sehemu ndogo tu ya changamoto coz wapo wenye changamoto kubwa kuliko...
  5. Wise Person

    Alinidanganya amekufa kumbe yupo hai na kachumbiwa

    Msamehe na endelea na Maisha yako. Mwache huna haja ya kulipa kisasi jipe muda na Umuombe sana Mungu akupe Amani na Akusaidie uweze kumsamehe kwa Moyo wako wote.
  6. Wise Person

    Mwanamke anapenda kupendwa

    Ishu ni Perception tu. (Mitazamo ya Watu) kuhusu hili.. Tumetofautiana kimitazamo kutokana na experience (uzoefu) tuliopitia katika Mahusiano yetu na wapenzi wetu. Hivyo kila mmoja Atakua na jibu lake kulingana na Alivyoishi na kumjua Mpenzi wake.
  7. Wise Person

    Mapenzi hayathaminiwi kabisa siku hizi

    Kaka umeongea kwa hisia sana na ni ukweli mtupu ulivyosema nami nasema Mapenzi ya Sasa yamevamiwa Sana (utandawazi, Ubinafsi, Usaliti) na yanaelekea kupoteza Umaana kwa hali hii. I ril Hate this.
  8. Wise Person

    Katika mapenzi usikubali ‘kuuziwa mbuzi kwenye gunia’

    Yawezekana uko sawa kwa hicho ulicheleza hapo.. Ila Bado Hizo mbinu ulizotoa hazitoshi kumdefine MTU ukamjua completely. "Mke Mwema Anatoka Kwa Bwana" ndivyo Biblia inavyosema so chamsingi ni kuomba sana kumtegemea Mungu akupe Yule Wakufanana na wewe au Eva wako.. Coz every Adam in this Earth...
  9. Wise Person

    Sijui kupenda, hivi kupenda ni kitu gani?

    Hujawahi kumwambia MTU unampenda kwasasabu hujawah kupenda MTU.. Siku Ukipenda utajua kupenda ninini. Hakuna lugha rahc sana ya kuweza kuelezea suala hili (kupenda) ila kwa ufupi ni kwamba. Kupenda/kumpenda MTU ni ile hali ya kuvutiwa na mtu inayopelekea wewe kushawishika kupitia hisia zako na...
  10. Wise Person

    Kuna kitu kinakosekana kwangu, kwa kuwa nimekua bila malezi ya baba

    Ni Ukweli Uwepo wa Baba ni wamuhimu sana kwa mtoto na kwa Familia kwa ujumla. Ingawaje watu tumetofautiana na tuna Mitazamo tofauti (perception) coz mwngne anaweza kuona Mbona kawaida tu.. Lkn kiuhalisia Uwepo wa Wazazi wote Baba na Mama ni Muhimu coz unakamilisha Familia.
  11. Wise Person

    Nani kama Mke

    Nzuri.. Japo sio kila Mwanamke au Mke ana sifa hzo.. Huyo ni Mke Mwema so ingefaa pale juu uweke "Mke Mwema" nzuri
  12. Wise Person

    Mchumba wangu ana matatitizo ya kizazi hawezi kuzaa, kumuacha namuonea huruma, nifanyeje?

    Wewe ndio umuogope Mungu..Mimi si Afiki hiyo dhambi.. Ya Uzinzi Maandiko yanesema huo ni Uzinzi na ni dhambi sijui kwako labda imani yako inasema sio Uzinzi kulala pamoja bila ndoa au sio dhambi.. Sijasema hyo ndio Sababu pekee japo in Moja ya sababu.. Ila nimesema pengine inaweza ikawasababu...
  13. Wise Person

    Mchumba wangu ana matatitizo ya kizazi hawezi kuzaa, kumuacha namuonea huruma, nifanyeje?

    Kuishi bila kyfunga ndoa ni dhambi Mbele za Mungu coz hapo Mnafanya uzinzi.. Pengine dhambi hii ndio inafunga Asipate Mtoto haijalishi report ya Doctor imesemaje.. Tubuni na Msizini tena Fungeni/barikini Ndoa.. Mtoto Atakuja kwa wkt sahihi na Mazngra sahihi. Kwaoneni pia Watumishi Wa Mungu kwa...
  14. Wise Person

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Hapana.. Hawezi kwenda Man U wala club yoyote kwa sasa Yule Ameletwa Home kama Successor wa Messi.. So wanaosema anaondoka wanaota ndoto za Mchana
Back
Top Bottom