Katika mapenzi usikubali ‘kuuziwa mbuzi kwenye gunia’

Yawezekana uko sawa kwa hicho ulicheleza hapo.. Ila Bado Hizo mbinu ulizotoa hazitoshi kumdefine MTU ukamjua completely. "Mke Mwema Anatoka Kwa Bwana" ndivyo Biblia inavyosema so chamsingi ni kuomba sana kumtegemea Mungu akupe Yule Wakufanana na wewe au Eva wako.. Coz every Adam in this Earth has his Eve. Mungu anajua size yako na for Sure Ukimwamini na Kumtegemea Mungu Atakupa.
 
Siwezi kulaumu, ila namsuta huyo mwananke kama aliweka uwiano wa kipato chako na bajeti yake ya mapodozi!!. Vipaumbele vyake nahisi vilikiuka mahitaji ya msingi, ndo labda "akakukata".
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom