Mapenzi hayathaminiwi kabisa siku hizi

Mapenzi hayathaminiwi kabisa siku hizi

Mapenzi hayalazimishwi hata siku moja.inaonekana unalazimisha.ndo hilo balaa lake sasa.

silazmish mapenz mtoto,
wanaume tunaconvice, asiyekuwa na mwelekeo utamjua na utakata mguu maramoja ila nadouble agent, mafiga matatu na wasiojitambua ndo wanasumbua
 
Mapenzi siku hizi ni siasa,kuwa na pesa then utathaminiwa,au usiwe na mkono wa birika kwenye kuhonga,hutalalamika tena mapenzi hayathaminiwi.
 
Mapenzi siku hizi ni siasa,kuwa na pesa then utathaminiwa,au usiwe na mkono wa birika kwenye kuhonga,hutalalamika tena mapenzi hayathaminiwi.
wawe wazi km wanauza si kujidai kupenda mtu kumbe wanapenda pesa.

umeshasikia mtu anawalalamikia machangudoa wamemtenda?

kule ukienda unajua baada ya hapa hakuna kujuana sasa hawa wasio rasmi wanashindwa kujipambanua

wawe wazi hakuna mtu atakuja hapa kulia
 
sasa simseme mnauza mbona mnajidai kupenda watu kumbe mnataka pesa!!!!

semeni kabisa mnatoa huduma ili mtu ajue mapema no strings attached

Kusoma hujui hata picha au wewe kipofu.

Nikupende umekuwa Mungu au Yesu wewe au wale walionileta duniani.

Hapa pesa mbele wewe ndo utafuata huna na upendo wangu hupati.
 
Mwe! mwe!! mwe!!!!

Hatari sana

Kusoma hujui hata picha au wewe kipofu.

Nikupende umekuwa Mungu au Yesu wewe au wale walionileta duniani.

Hapa pesa mbele wewe ndo utafuata huna na upendo wangu hupati.
 
Nadhani ni ile misemo ya watoto wa mjini, siku hizi wanasema mapenzi pesa sjui mapenz kitu gani! Kwamba maua mpelekee kipepeo sjui, romance mpelekee njiwa!

Lakini nnachotaka kusema hapa no kuwa ile role ya mapenzi kwishney kabisa, if still exists very rare and to very few human beings, men to women utulivu ziro hata kwa usiowafikiria unaowaona wametulia ubinafsi mwingi!

Hakuna shukrani! hakuna fadhila.

Unakutana na mdada unampenda,unaanza nae mahusiano, unamwonyesha total love, vety responsible love, highly committed! Unamjali kuanzia yeye hadi ndugu zake, humpi kupumua kwa kumwonyesha mapenzi mfululizo.

Inapokuja wewe unauhitaji hata wa faraja tu kutokana na matatizo ya kidunia labda unauguliwa na mama au mwanafamilia yeyote pale ulipozaliwa, unategemea atakuwa na wewe bega kwa bega, ndipo unakutana na vituko.

Inakatisha tamaa sana, kwani mapenzi tuyaonayo kwenye tamithilia hatujifunzi? Au hayawezekani? Kinachoshindikana ni nini hadi tuweke slogan ya kuvumiliana?

Unaweza hata ukamkuta mtu katika matatizo makubwa ukampenda kwa huruma na dhati, ukamtoa katika shida zake, sasa mwenzio hapo anahesabu ameukata, akishakaa sawa hapo hajishughulishi tena, hata kwenda kununua nyanya chungu sokoni atachukua bodaboda, hafanyi chochote kusave currance ila kutumia.

Amekuwa bize kufanya mambo ambayo hayana tija, kutafta marafiki wapya wa hadhi yake ambao hupoteza muda kufuatiliana maisha badala ya kufanya mambo binafsi. Hata mlizaa hajishughulishi ma watoto utadhani amekuzalia wewe yeye hawamhusu.

NIMECHOKA!

Sasa ndugu zangu nitaftieni mke wa kuoa, tena napenda aliepitia shida za mapenzi ili nimfariji astawi, awe mzuri wa wastani tu hata akiwa na watoto angalau wasizidi wawili na tukiongeza mmoja wakutuunganisha tunapeta.

Nishaurini wanajamvi

Mbona mi sipati mtu kama ww? Mmmmh kaz ipo
 
Kaka umeongea kwa hisia sana na ni ukweli mtupu ulivyosema nami nasema Mapenzi ya Sasa yamevamiwa Sana (utandawazi, Ubinafsi, Usaliti) na yanaelekea kupoteza Umaana kwa hali hii. I ril Hate this.
 
Mapenzi haya wakati wengine wanatamani kupata watu wenye mapenzi ya kweli wengine wanapendwa lakini hawapendeki.May God help you upate atakayekupenda na kukuthamini
 
Kaka umeongea kwa hisia sana na ni ukweli mtupu ulivyosema nami nasema Mapenzi ya Sasa yamevamiwa Sana (utandawazi, Ubinafsi, Usaliti) na yanaelekea kupoteza Umaana kwa hali hii. I ril Hate this.

Sometimes I just get myself somewhere lonely and cry till fade, why are we this way people?
 
Back
Top Bottom