Recent content by wisdom empire

  1. wisdom empire

    Wasaka Kiki kwa nguvu.

    Mkuu optimiatic bourgeoisie hao watu unaowataja sipati picha wakija. Hasa uyo Conor 1
  2. wisdom empire

    Wasaka Kiki kwa nguvu.

    Iyo tai ya Dr shika[emoji23] [emoji23]
  3. wisdom empire

    Tangazo la kuitwa kwenye Usaili wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA)

    Unawatetea bure. Ni lazima pawe na uwiano mzuri Kati ya available vacancies na idadi ya shortlisted candidates.
  4. wisdom empire

    Tupia avatar yako hapa.

    Iga ulogwe.
  5. wisdom empire

    Ontario kamalizwa kishamba mno!

    Unasema Mungu kamleta then hapo hapo unasema anampromote scam broker kwa faida yake binafsi then una unarudi kumshukuru tena.Hueleweki umesimama wapi, kwakifupi wewe ni mnafiki.
  6. wisdom empire

    Mwalimu mzoefu Niko hapa!!!

    -Upo tayari kufanya kazi katika interval ipi ya kiwango cha mshahara?Namaanisha mfano;kati ya Tsh x hadi Tsh y kwa mwezi. -upo tayari kufanya kazi mkoa gani? -Unahitaji ajira ya part-time au full-time? Fafanua hayo itakua rahisi kukusaidia.
  7. wisdom empire

    Ushauri: Nimempenda ila ni mwanafunzi wa sekondari, je nimsomeshe?

    Nasubiri mrejesho atakavyokuja kutulilia humu.
Back
Top Bottom