Muumangu
Member
- Dec 31, 2017
- 70
- 16
Kama kichwa hapo juu kinavyojieleza, Mimi ni mwalimu mzoefu( 4 years experience) katika hesabu na kemia, naomba kwa mwenye mawasiliano ya shule yoyote yenye kuhitaji mwalimu wa masomo tajwa hapo juu, iwe kwa sekondari ama English medium aniuganishe,(Elimu yangu ni shahada), nusu ya mshahara wangu wa mwezi wa kwanza katika kazi nitampatia, mawasiliano: Mr...0752448854.
Ahsanteni
Ahsanteni