Recent content by wirriyamu

  1. wirriyamu

    Wahitimu wengi wa UDSM mna dharau na kujisikia sana lakini mna Maisha magumu

    Ngabu sio wengi ambao wanakuwa na ndoto za kusoma vyuo hivyo huko Ulaya na Marekani. Nazungumzia walio wengi. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. wirriyamu

    Wahitimu wengi wa UDSM mna dharau na kujisikia sana lakini mna Maisha magumu

    Twende mbele na kurudi nyuma...... Wanafunzi wengi ama asilimia kubwa wanapokuwa shuleni (o level na high school) ndoto zao huwa ni kusoma chuo kikuu tena UDSM. Hayo mengine ya kwenda sijui cbe ama kusomea fork lift ni matokeo ya low pass marks. No offense though...... Kuhusu dharau nadhani ni...
  3. wirriyamu

    TCRA na BASATA kemeeni matumizi ya ulemavu wa watu kama maigizo ya vichekesho

    Mie sioni kama kuna udhalilishaji wa aina yoyote. Watu wenye ulemavu ni wanajamii kama mtu mwingine yeyote. Wasanii/waigizaji wanaweza kuigiza chochote kinachotokea ama kilichopo kwenye jamii ikiwemo watu wenye ulemavu. Nadhani mada hii ingekuwa na mashiko endapo wangekuwa hawaigiziwi na kisha...
  4. wirriyamu

    Kwanini sitaki kupata mtoto

    Umejuahe kuwa una uwezo wa kuzaa?? Ushawahi kutia mimba mwanamke?
  5. wirriyamu

    Mwanafunzi wa Chuo Kikuu anapocheza 'gemu' kwenye kompyuta!

    Hivi hujioni kama uko peke yako bro?? Yaani nimepitia comments zote kila mmoja anakushangaa wewe unavyoshangaa...... Na wewe umekomaa kutetea post yako tokea mwaka 2014.... Umetisha jibaba.
  6. wirriyamu

    Kijana kuwa makini, wanawake toka katika familia hizi hawafai kwa ndoa

    Nakubaliana na wewe ka 101% mimi ni mhanga wa kuoa kwenye familia ya binti aliyelelewa na mama pekee. Na matokeo yake nayaona dhahiri kama ulivyoeleza. Nobody warned me back then. Not even my father...... Nadhani na yeye hakuwa na elimu hii. I will pass this knowledge to my sons.
  7. wirriyamu

    Baada ya kumtolea mahari, kejeli na kiburi vimeonekana wazi

    Nazungumza kwa uzoefu......... Kimbia faster. Toka nduki haraka sana. Hiyo ni tabia yake na usidhani kama ipo siku atakuja kubadilika. Kama unataka ndoa yenye raha na furaha, bado hujachelewa kutengua maamuzi. Mahari sio ndoa. Piga chini tulia tafuta mwanamke mwingine atakayekufaa.
  8. wirriyamu

    Hivi inakuaje gari namba C halafu mile-age ni ndogo sana

    Kawaida tu hiyo mbona. Nilinunua gari mwaka 2012 ikiwa na Km 25000 sasa ni mwaka wa tano ndio juzi tu imegonga 70000. Na namba ni C. So usione ajabu ni normal. Cha msingi angalia kama haina shida yoyote ya kiufundi.
  9. wirriyamu

    My principle: huwa silali kwa watu, wala kula chakula kwa watu

    Okoyoko.....hujamjibu Gwankaja. Vipi ukitembelewa? Unawakaribisha chakula? Unawaandalia pa kulala?? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. wirriyamu

    Msaada kufungua mfuniko wa simu

    How do I open tecno l8 lite back cover - TECNO MOBILE COMMUNITY OFFICIAL FORUM may be this can help Sent using Jamii Forums mobile app
  11. wirriyamu

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Hebu tupiamo na za Malaika beach resort tafadhali.
  12. wirriyamu

    Tuambizane ukweli eti ukijibana sana elfu 10,unaitumia kwa siku ngapi?

    Siku ngapi??? Hiyo si ni mafuta tu ya kwenda kazini na kurudi kwa siku moja.
  13. wirriyamu

    Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

    [emoji2] [emoji2] na taahira
Back
Top Bottom