Msaada kufungua mfuniko wa simu

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,975
Ndugu zangu kama mada inavyojieleza hapo juu, jana nimenunua simu ya TECNO L8 Lite.

Lkn kwa uharaka niliokuwa nao nikasahu kuuliza namna ya kufungua mfuniko wa nyuma kwa ajiri ya kuweka line.

Najua hapa wataalamu mpo simu imenishinda kufungua kabisa, naombeni ujuzi huo
0ff4249d22c6e38186f3d4d681487778.jpg
 
Cheki upande wa kulia pembeni kwa chini utaona utaona kuna nafasi ya kufungulia
 
Back
Top Bottom