Recent content by WinVista

  1. W

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Maalim Seif ''CCM mutaitoa nchi mutake musitake''

    Hahahahahaha
  2. W

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif amewatembelea wafanyabiashara wa Z'bar na kusikiliza maoni yao juu ya hali ya biashara

    Kiongozi wa watu Rais wa watu., go Maalim goo..
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Karume, Asha Abeid Amani Karume ajiunga CUF

    Ivi uko Zanzibar kuna aliebaki hajajiunga na CUF?
  4. W

    JamiiForums Tanzania Video: Maalim Seif Sharif Akipokelewa Kifalme katika ziara yake Unguja

    safi kabisa rais makini
  5. W

    JamiiForums Tanzania Picha: Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Shari Hamad na Ujenzi wa chama Kisiwa cha Tumbatu

    Akiwa katika ziara maalum ya ujenzi wa chama kufungua matawi mapya Katibu Mkuu wa CUF maalim Seif Shariff Hamad na umati mkubwa uliomiminika katika kisiwa hicho cha Tumbatu jana tarehe 1/4/2017, Ni dhahiri sasa CUF haizuiliki tena katika visiwa vya Zanzibar, itakumbukwa kabla kisiwa hichi...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Kenya kuzuia madaktari wetu kuajiriwa kwao: Watanzania tumejifunza nini?

    Mkuu maana yake hii ni kwamba mfano kama wa Kenya ukitokea Tanzania kwa mfano madaktari wa Tz kugoma, ama walimu kugoma, wafanyakazi wa serikali kugoma nk basi usije ukashangaa na Tz kuagiza kutoka Eithiopa, Kenya ama Rwanda na Burundi badala kutatua kero ambazo wahusika wanadai. Ndivyo tawala...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli piga marufuku vijana wa Tanzania kwenda kufanya kazi nchi za kiarabu

    Kwani Tz kuna amani? hakuna unyama zaidi kuliko huo? mara ngapi nimesoma kesi za watu kuwafungia hata wagonjwa ndani miaka nenda miaka rudi hawawapi huduma, wengine huwapiga mapanga wake/waume zao. watoto wachanga wanatiwa chooni. Kuna mtu mashuhuri kama ben saanane hadi sasa Tz hajulikani...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Alieteuliwa na Lipumba akataa uteuzi asema Lipumba si mwanachama

    wanamkana ivi ivi mchana kweupe
  9. W

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif anena baada ya Jecha Kudai alikuwa sahihi kufuta Uchaguzi ZNZ

    Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema ameshamalizana na mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha na haoni umuhimu wa kuzungumzia wala kumjibu, kwa sababu atampa sifa asizostahili. Akihojiwa katika kipindi cha Funguka cha kituo cha televisheni cha...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

    hee msijali 2020 tutaweka zilizoharibika umetukumbusha kitu muhimu sana. IT wetu naye alikuwa na harakaharaka
  11. W

    JamiiForums Tanzania Bunge la Uingereza lajadili kuhusu Zanzibar

    acha papara Zanzibar iko mikononi mwa wazanzibari very soon
  12. W

    JamiiForums Tanzania Bunge la Uingereza lajadili kuhusu Zanzibar

    Moyoni una hofu kuwa mkweli Maalim Seif amewashika pabaya.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Bunge la Uingereza lajadili kuhusu Zanzibar

    safi sana wanatikiswa huku na huku Maalim seif ameitambulisha dunia kuhus yaliyojiri Zanzibar oct 25. Tusiandikie mate tusubirie tuone
  14. W

    JamiiForums Tanzania Dimani si Shwari mamluki wavamia Ofisi za CUF

    kweli ccm zanzibar imajji, hawana tena namna kuomba kura kwa wananchi sasa ni fujo tu. Maalim Seif anajuwa siasa sana ata akistaafu siasa tayari wazanzibar wameshaamka.
Back
Top Bottom