Akiwa katika ziara maalum ya ujenzi wa chama kufungua matawi mapya Katibu Mkuu wa CUF maalim Seif Shariff Hamad na umati mkubwa uliomiminika katika kisiwa hicho cha Tumbatu jana tarehe 1/4/2017,
Ni dhahiri sasa CUF haizuiliki tena katika visiwa vya Zanzibar, itakumbukwa kabla kisiwa hichi maalim hakuwa na ushawishi wowote ilikuwa ni kijani kitupu.
Ikumbukwe kwamba ziara hii ni ya siku 12 mfululizo kwa Katibu Mkuu huyu kutembelea visiwa vya Zanzibar na kuendelea kukisuka upya chama.
akiwa kwenye mtumbwi kuelekea kisiwa cha Tumbatu
Wanakijiji wa kisiwa cha Tumbatu Unguja wakimsubiri kiongozi wao rais wao mpendwa bandarini