Dimani si Shwari mamluki wavamia Ofisi za CUF

5525

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
5,412
6,279
Taarifa
Hivi punde tumepokea taarifa ya kuvamiwa kwa Office ya CUF ya jimbo la dimani tukiwasiliana
kwa njia ya simu na katibu wa tawi la dimani ametuarifu kua wanachama wetu walio kua hapo walipigwa na hadi sasa mwenyekiti wa tawi hajulikani alipo inasadikiwa kuchukuliwa na maharamia hao
taarifa zaid zitawaijia kila baada ya muda

Na Ben Haidar.

15965834_1351678624853004_3129238167523794954_n.jpg

15977454_1351678608186339_2902413002047029063_n.jpg
 
Taarifa
Hivi punde tumepokea taarifa ya kuvamiwa kwa Office ya CUF ya jimbo la dimani tukiwasiliana
kwa njia ya simu na katibu wa tawi la dimani ametuarifu kua wanachama wetu walio kua hapo walipigwa na hadi sasa mwenyekiti wa tawi hajulikani alipo inasadikiwa kuchukuliwa na maharamia hao
taarifa zaid zitawaijia kila baada ya muda

Na Ben Haidar.

View attachment 460329

View attachment 460330
Tayari washaanza kuleta figisu
 
Lipumba ameshapewa milioni 300 za ruzuku. Hata ungekuwa wewe ungezitumiaje? Ni nyingi sana, sana.
 
kweli ccm zanzibar imajji, hawana tena namna kuomba kura kwa wananchi sasa ni fujo tu. Maalim Seif anajuwa siasa sana ata akistaafu siasa tayari wazanzibar wameshaamka.
 
ccm zanzibar haina alternative tena wamefeli 100% kuwashawishi wananchi waipigie kura ccm, na sasa wanajuwa hakuna msaada njia iliyobaki ni ubabe tu.
Akili zao zimefika mwisho,sasa wanatamani hata vita huku wakihubiri amani.Ama kweli.......
images-924.jpeg

Ukisema eti wewe ndiye waitwa mchochezi.
 
Back
Top Bottom