Recent content by Windhoek

  1. W

    JamiiForums Tanzania Kuna takwimu lazima watu wa kanda ya ziwa lazima wawepo

    Kati ya mikoa 15 iliyopo hapo kuna mkoa mmoja tu wa kanda ya ziwa. Ila kuna mikoa mi3 ya kanda ya Kaskazini. Watu wa Kaskazini na Zanzibar umeshindwa kuwasema inakomaa ma kamda ya ziwa🤔
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Wizara Mbili na UTEUZI, Februari 6, 2026

    Huyu mama Bi Fatma Mwassa aliyekiwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera kakosea wapi? Alikuwa mtu mzuribhasa kwa Kagera. Kwa hiyo ndo mama kam dump? Hajampeleka popote?🤔
  3. W

    JamiiForums Tanzania Bisho Ntongo namuona kwenye kona, inasikitisha sana, wametoboa mtumbwi sasa

    Bisho ntongo🤣🤣🤣
  4. W

    JamiiForums Tanzania Shukrani kwa walioshiriki Mjadala wa "jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto"

    Suala la majibu ya DNA kuwa huru na ya haki mlipe kipaumbele cha juu sana! Wanaume wengi wanasusa watoto wanapoku.wa na mashaka na watoto kuwa sio wao
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mungu yupo, kuna watu wanabisha kuwa yupo

    Unathibitisha uwepo wa NGOSWE kwa kutumia kitabu cha NGOSWE-MAPENZI KITOVU CHA UZEMBE??? Unathibitisha uwepo wa Spiderman kwa kutumia CD ya movie ya Spiderman???? Sijui wafia dini huwa mnatumia akili gani🤣🤣🤣
  6. W

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mvutano wafukuta kati ya JK na YM nani aanze urais kati ya RK na JM

    Waislam watumpumzishe kwanza kwa kweli. Uongozi wao always unakuwaga mbaya sana! Nchi huwa inaharibika sana. Ukweli mchungu☹️ NB. Mimi ni mwafrika niliyejitambua, sina dini
  7. W

    JamiiForums Tanzania Duh, Waisraeli ni watu wenye akili sana – Tazama mahali wanapojificha wakati wa vita. Ni raha tupu!

    Another innocent neck carrying empty head🤔
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kuna nini katikati ya mbuga ya Serengeti?

    Ndiyo, kuna maeneo maalum ndani ya Mbuga ya Serengeti ambayo hayaruhusiwi kufikiwa na wageni bila kibali maalum. Hii ni kwa sababu mbalimbali: 1. Kulinda mazingira nyeti: Baadhi ya maeneo ni makazi ya wanyama wanaozaliana au kupumzika, hivyo kuzuia usumbufu ni muhimu kwa uhifadhi wao. 2...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Steven Mguto amewasilisha barua ya kujiuzulu. Kwa upande mwingine Rais wa TFF amemsimamisha kazi CEO Almasi Kasongo

    Koloboys mmesema hamchezi derby siku nyingine tofauti na tar 15, nauliza tena tar 25 mnaleta timu au hamleti?🤣🤣🤣
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kumbe kelele zote wakenya zipo kwenye namba (spending/figures) tu ila Watz tumewazidi standard of living! Imagine tunawazidi hadi access ya internet😆😆😆
  11. W

    JamiiForums Tanzania Kenya's economy compared to Tanzania in 2025, Nairobi beats Dodoma

    wakenya wana maisha magumu. Imagine tunewazidu hadi access ya internet😀. Wana poverty rate ya kutisha. Un employment ndio balaa🤣
  12. W

    JamiiForums Tanzania Kenya's economy compared to Tanzania in 2025, Nairobi beats Dodoma

    Haya sasa Chat GTP amemaliza kila kitu hapa. Wakenya ukiondoa "spending" hawana kitu. Kwa maisha ya watu Tanzania is better
  13. W

    JamiiForums Tanzania Wakenya walitusimanga sana na SGR yao, sasa wanakiona cha moto

    Nakataa! Kenya wanatuzidi uchumi wa kwenye makaratasi lakini kwenye standard of living tunewaacha mbali sana. Ikumbukwe maana halisi ya uchumi ni life standard ya watu na sio namba
  14. W

    JamiiForums Tanzania Yupi CEO wako bora kuwahi kutokea Tanzania? Nchi masikini zinafeli wapi!?

    Liz Lloyd - Standard Chartered Bank, miaka ya 2013 hadi 2016 nadhani.
Back
Top Bottom