Ndugu, Mwanza: Kipigo sio tu ni halali na hali haki yao bali pia wanastahili. Jambo la muhimu lilikuwa ni kuambiwa faida na hasara za hiyo rasmu ya katiba alafu wao wananchi (mmoja mmoja) wachambue ambapo watakubaliana na mapendekezo au watayakataa. Pili: Kwa nini wajumbe wa mabaraza wa katiba...
Ndugu,
Mbumbe (Catherine P. Julias) wa viti maalumu kupitia chama cha Sauti ya Umma (SAU) amefumaniwa na mme wa mtu wilayani Temeke na kukatwa mkono wake wa kushoto, kwa sasa amekimbizwa Temeke Hospital kwa matibabu.
Ndugu,
Ni raha sana pale unapoambiwa umeongezewa mshahara wakati siku nyingine uwa unatega kazikula bata mpaka kuku wa
Ni raha sana pale bili ya maji inapokuja '0' wakati umetumia maji mwezi mzima
Ndugu,
..... hadhara wa kampeni katika kata ya Daraja Mbili Arusha...uliofanyika mbele ya ofisi za Kata za Chadema .....
Mkutano ulifanyika mble ya ofisi NA sio ndani ya ofisi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.