Recent content by willy zeph

  1. willy zeph

    JamiiForums Tanzania Makonda: Aliyesema ametekwa ameuchafua mkoa wetu, Iringa wakimalizana nae wamlete Dar

    Kweli kabisa ndugu yaani huu ni uonevu uliopitiliza!!yaani anaweza kuongea anavyojikia!
  2. willy zeph

    JamiiForums Tanzania Serikali yamfungia masanii Roma Mkatoliki Kujihusisha na Muziki kwa miezi 6

    Mambo ya kijinga,mbona wimbo ni wa siku nyingi?kama kusikika umesikika vya kutosha kwa ujumla nyimbo zilizofungiwa nyingi zimedumu zaidi ya mwaka sasa hata aielewi lengo lao nini hasa!!
  3. willy zeph

    JamiiForums Tanzania Balozi mteule mbona haapishwi? Au inaandaliwa sherehe ya kitaifa?

    Mpaka bombadiar yetu ije ndo ataapishwa
  4. willy zeph

    JamiiForums Tanzania SIHA: CHADEMA yashindwa kujaza sebule watu wachache wajitokeza wakati wa uzinduzi wa kampeni za kiti cha ubunge

    Mbona uzinduzi wa ccm walishindwa kujaza chumba??
  5. willy zeph

    JamiiForums Tanzania Hela wanayotumia kununulia Wabunge na madiwani pamoja na kurudia Uchaguzi tukiijumlisha haitoshi kuikomboa Ndege Yetu?

    Hizo hesabu zako umeokotea wapi?acha utani wa kitoto
  6. willy zeph

    JamiiForums Tanzania Hela wanayotumia kununulia Wabunge na madiwani pamoja na kurudia Uchaguzi tukiijumlisha haitoshi kuikomboa Ndege Yetu?

    Zinatosha kabisa kukomboa bombadiar na kununua nyingine [emoji23] [emoji23]
  7. willy zeph

    JamiiForums Tanzania TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

    Poleni sana ndugu na jamaa wote
  8. willy zeph

    JamiiForums Tanzania Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Umetoa historia ndeefu isiyo na tija kwani nimesoma mpaka mwisho lakini hakuna sehemu yoyote uliyokanusha aliyosema askofu Kakobe kuonyesha kwamba yote aliyosema ni kweli pasi na shaka,na umeishia kumuita eti ni mchochezi!!! Yaaani mtu akisema ukweli anakuwa mchochezi? Kachochea nini hasa?achana...
  9. willy zeph

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli asema ana taarifa kuna kiasi cha dola bilioni moja zimekamatwa uwanja wa ndege Dsm!

    Subiri wewe episodes na series bado ziko za kutosha vunga kidogo usiwe na haraka acha matangazo yapite kwanza[emoji15] [emoji15] [emoji23]
  10. willy zeph

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hey ,you didn't mention 'Nairobi flying toilets' have you guys find a solution for it??
  11. willy zeph

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

    Pole sana cha muhimu wewe temana nae huyo atakupotezea ramani ,cha muhimu rudisha nguvu kwenye hiyo nyumba yako usirudi tena kupanga,kubali kupoteza itakusaidia kwa future yako na watoto! Huyo ni kunguru hafugiki.
  12. willy zeph

    JamiiForums Tanzania Mbunge Prof. Jay aangua kilio hadharani, baada ya mauaji yaliyofanywa na polisi jimboni kwake

    Ni kweli kabisa ndugu ni uonevu uliopitiliza unaofanywa na jeshi la polisi
  13. willy zeph

    JamiiForums Tanzania Itifaki ikoje kati ya Mkuu wa Mkoa na Makamu wa Rais katika kufika sehemu?

    Kwa kweli itifaki haikuzingatiwa kabisa kwanza ni aibu hata mc nae alichemsha ilitakiwa avunge tuu
  14. willy zeph

    JamiiForums Tanzania Jesca Kishoa kwa hili la kumkosoa Kafulila hadharani na kufuta picha zake kwenye mitandao yako ya kijamii, umekosea

    Unaingilia ndoa za watu wewe haikuhusu!!
  15. willy zeph

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Museveni watoa tamko kulaani mahakama ya ICC kuichunguza Burundi

    Muwasho kaanzisha mwenyewe sasa ngoja muwasho ukimzidi atasema tuuu
Back
Top Bottom