Recent content by Williard cornel

  1. W

    Simiyu: Mkoa wenye sifa ya kipekee kwa siasa za upinzani Tanzania

    sijui tuna matatizo gani watanzania kwasababu hatupendi kukubali ukweli ulio wazi pale tunapokuwa na maslahi fulani.
  2. W

    Nani mwongo,mzandiki, na mfitini? Raisi Kikwete au Dr.Sezibera?

    tatizo limeanza baada ya kuamua kujenga hoja kwa kuzingatia misingi ya vyama tunavyotoka, hapa hata km jibu halipatikani ktk vyama hivyo itafanyika jitihada ya kuhakikisha majibu yanapatikana ndani ya vyama hivyo hata km hayana mantiki yoyote.
  3. W

    Nani mwongo,mzandiki, na mfitini? Raisi Kikwete au Dr.Sezibera?

    ni makubaliano yapi hayo ambayo tumeshindwa kuyatekeleza sisi kama taifa ata tustahili kutendewa haya tunayoyashuhudia sasa?
  4. W

    Nani mwongo,mzandiki, na mfitini? Raisi Kikwete au Dr.Sezibera?

    mkuu Nasjaz yapo mengi ambayo sisi km taifa tunayatekeleza, kwa mfano daraja letu la kigamboni lenye urefu wa mita 680 lipo on course now despite of few people in the affected area who has refused to take their compensation, tatizo la ndugu zetu wakenya wanajiona wanajua sana,ndio walioelimika...
  5. W

    Hivi wanaume nao wanahitaji kitchen party au tumekamilika?

    tufundweje sisi wakati nyie ndio mnamatatizo?endeleeni kurekebishana nyie kwa nyie ili ndoa zinazovunjika walau zipungue kidogo
  6. W

    Hivi wanaume nao wanahitaji kitchen party au tumekamilika?

    nafikiri tatizo halijaonekana bado ndio maana hakuna umuhimu huo,hii inanifanya niamini wanaume ni kiumbe cha tofauti kidogo,please tupeni heshima yetu,nyie ndio mna mapungufu kibao ndio maana mnahitaji kurekebishana,kufunzana na kuelekezana lakini sisi ma 99.9% hatuhitaji darsa la namna...
  7. W

    Nafikiria kuachana na mpenzi wangu

    unahisi bado kumpenda mkuu?embu tuanzie hapo.
  8. W

    Mtu gani maarufu hapa Tanzania unayemkubali na kwanini?

    kutokuelewa maswali sawa sawa kumechangia sana kwa wadogo zetu kufeli mitihani yao ktk level mbali mbali za kielimu.
  9. W

    Irene Uwoya: Diamond mrithi wa Michael Jackson

    nafikiri anatumia haki yake vizuri ya uhuru wa kutoa maoni
  10. W

    Tuntemeke Mesaka Nnnung'wa Sanga na Hoja ya Muungano mwaka 1993

    binafsi natamani sana kumjua huyu mwanasiasa kiundani lakini info zake sizipati, wazee wetu wa JF msaada tafadhali
  11. W

    Ukweli mchungu: Wasomi wetu hawauziki…!

    umezungumza ukweli mtupu mkuu, kama tunataka kweli kulikomboa taifa hili lazima tuanze kurekebisha mfumo wetu wa kielimu kwanza, hapa partisan politics lazima ziwekwe pembeni na tufanye kazi kama taifa moja......mhe Mbatia kalianzisha hilo hivyo ni kazi kwetu kuliendeleza kwa faida yetu sisi na...
  12. W

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    kama umesomeshwa na heslb ondoa tena 8% hapo,kwa kifupi makato ni mengi sana.
  13. W

    Maisha ya dada zetu wakiwa vyuoni

    la msingi dada zetu wajìheshim na hasa ktk mavaz,kwan dvpt goes hand in hand with self respect.
  14. W

    Maisha ya dada zetu wakiwa vyuoni

    la msingi dada zetu wajìheshim na hasa ktk mavaz,kwan dvpt goes hand in hand with self respect.
Back
Top Bottom