Recent content by Wilddog

  1. W

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya marafiki wapya na nafasi ya kutafuta kazi

    Ndo maana naipenda JF! Unakutana na kila aina ideas,za kubomoa na za kujenga, but this one is very valuable! Thanks n' keep it up.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kumbe Ubaguzi ni sera ya serikali ya Afrika Kusini!

    Mkuu hata mimi nmeangalia hyo habari mpaka mwili ukasisimka.Eti wana sera ya kuwazuia watoto wasio raia wa Afrika Kusini wasisome Shule za Serikali.Yaani kwa mfano wa ndg zetu waliokimbia vita kuja kwetu watoto wao hawaruhusiwa kusoma Shule za Serikali. Hii ni hatari
  3. W

    JamiiForums Tanzania BOT na Kashfa ya kuuzwa kwa sarafu ya mia tano /Tsh 500

    Wachina wanajua kuchungulia fursa aisee
  4. W

    JamiiForums Tanzania BOT na Kashfa ya kuuzwa kwa sarafu ya mia tano /Tsh 500

    Hii hoja tamu ila naona kama haujaipa nyama kutosha!
  5. W

    JamiiForums Tanzania Faida 10 za kujisomea, ukiacha kuongeza Maarifa

    Mkuu nimependa uzi wako Mimi kuna kipindi nlianza kusoma ila tatizo ninalokumbana nalo ni kupata muda,ila kwa uzi wako huu ntaanza rasmi tena kusoma Labda nikuulize wewe unasoma vitabu gani,vya srori au vitabu vya taaluma yako?
  6. W

    JamiiForums Tanzania Bango la miaka 51 ya Muungano

    Kwa hiyo kwa sababu tumetumia pesa nyingi ndio sababu ya kupitisha tu Katiba hata kama ni mbovu? Gharama za kupitisha na kuwa na Katiba mbovu ni kubwa mara 100 ya kuandaa Katiba yenyewe.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ingawa tunasema mpira dk.90 ila leo hawa jamaa wametuamlia
  8. W

    JamiiForums Tanzania Tuna mtoto wa miezi saba, mke wangu mjamzito. Ushauri pliiiz!

    mangatara Kumbe hakuna shida kama mtoto bado mdogo, ngoja na mimi niongeze mwingine ili tupumzike mapema,maana wa kwangu ana miezi kumi.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mbowe sasa avuka mipaka, afanya matumizi ya gari la serikali kwa shughuli za CHADEMA

    Ni kweli mkuu kwenye ishu ya mkopo hapo nmekupata vizuri na ndivyo ilivyo
  10. W

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    He hee,Messi wa Barca na Messi wa simba
  11. W

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini Aaga Bunge Rasmi

    Nmeipenda hiyo "tutakula kwake lakini kulala kwingine"
  12. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

    Mpaka manati kweli mwaka huu hali ni tete
Back
Top Bottom