La masia haifi hata siku moja sasa Wague wa Senegal kapandishwa Team A, Bosquet kapanda timu ya wakubwa, Ruiq Puig, na Alena wote hao wametoka La Masia.
Dogo kafika Barca akiwa n miaka 6 lakini wengi kama tunavyo mjuwa Mino Raioa (agent wa pogba na De Ligt) yeye anapenda pesa kubwa na ahana mahusiano mazuri na Barcelona. Ndio maana baadhi ya member wa board ya barca wanataka kutojihusisha na mchezaji yeyote ambaye yupo chini ya wakala huyu.
Wapo wengi kila mmoja na kazi ake wale wakina tale na fela wao soko la ndani ndo kazi yao nje sallam pamoja na collabo kubwa z kimataifa kwa soko la ndan media zote had upite kwa tale na fella ko hawez waacha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.