Recent content by wilbrod

  1. W

    JamiiForums Tanzania Spika na wabunge warejea kutoka Misri wataka kocha wa Taifa stars mh Amunike ni dalali atimuliwe mara moja

    HII INANIKUMBUSHA UMISETA KATIKA SHULE MOJA HIVI YA SERIKALI MWALIMU AKAMCHEZESHA DOGO MMOJA KIKOSINI BILA KUJUA KUWA ALIKUWA TANGU ASUBUHI HAJALA CHOCHOTE TANGU ALIPOTOKA NYUMBANI ASUBUHI. JAPO DOGO ALIKUWA NA MOYO SANA WA KUJITUMA KUICHEZEA SHULE YAKE NA UKIZINGATIA HATA CHAKULA CHA MCHANA...
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kuoa

    SASA NA MIE NILIYEOA UKEREWE YAANI SIJUI NISEMEJE TABU TUPU. WAIFU KILA SIKU ANAPIGA MAKASIA KITANDANI USIKU. ASUBUHI AKIAMKA YUKO HOI TAABANI. Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
  3. W

    JamiiForums Tanzania Tigo wamechukua mia tano bila kunipa bando leo siku ya 3 kimya

    Nchi hii hakuna taasisi isiyokwamisha mipango binafsi kwa wananchi wakitekeleza mpango yao msingi kimaendeleo
  4. W

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu adai Makonda ni malaika wa Mungu aliyetumwa duniani

    KUMBE SASA TUNA MIUNGU WATU NA MALAIKA WATU
  5. W

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Joseph Mbilinyi (Sugu) ni kesho, wanaMbeya wanasema ama zao ama mbunge wao

    KWA HIZI KAULI MNAONEKANA KUWA HAMPO TAYARI KWA HOJA WALA KWA MARIDHIANO. ENDELEENI KUVIMBA VICHWA HUKU MKICHEZEA MAISHA YA WENGINE KAMA NDIO MUNGU NYIE HAPA BONGO
  6. W

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma mliokuwa na madai tupeni mrejesho mmelipwa madai yenu maana mshahara wa Feb, 2018 tayari umetoka

    KUNA WATU WA AJABU KWELIKWELI... SHUKRANI ITOKEWAPI ANGALI NI DENI LA MUDA MREFU. WEWE UKILIPWA NA MDENI WAKO WA KITAMBO UTAMSHUKURU NA MIHASIRA YA KUSUBIRIA
  7. W

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Hivi ndivyo nilivyoshuhudia maandamano ya Kinondoni na jinsi watu walivyopigwa risasi

    NADHANI WE NAWE NI POLICCM.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Hivi ndivyo nilivyoshuhudia maandamano ya Kinondoni na jinsi watu walivyopigwa risasi

    TUNA WASIWASI SASA HUKO TUENDAKO HATA UKIWA NDANI MWAKO RISASI ZITAKUWA ZINAKUFUATA
  9. W

    JamiiForums Tanzania Dk Helen Kijo Bisimba: Sakata la Akwilina (RIP) Rais afanye zaidi ya kutweet

    ulikuwa wapi bro
  10. W

    JamiiForums Tanzania Tell us what you think that President Magufuli has done for us so far??

    thank you SIR for this zawadi. japo ni short but clear message na msaada mkubwa kwa viongozi wa ngazi zote zinazohusiana na utawala wa sasa katika siasa na jeshi pia!!!
  11. W

    JamiiForums Tanzania Tell us what you think that President Magufuli has done for us so far??

    umefanya uchunguzi gani juu ya hili
  12. W

    JamiiForums Tanzania Tell us what you think that President Magufuli has done for us so far??

    UKITAWALIWA NA MASKINI UKAWA NA MAENDELEO YA DHAHIRI. KUANZIA SIKU HIYO HATA MPARACHICHI UTAKUWA UNAZAA MIEMBE
  13. W

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya ACACIA ipo kwenye Mazungumzo na Kampuni ya Kichina ili iwauzie Mali/hisa zake zilizopo Tanzania

    KUNA BAADHI YA WATZ MIONGONI MWETU BADO HAWAJAONA JINSI SERA ZA KIUCHUMI ZA HAO WAZUNGU ZILIVYO NGUMU. AKINA NYERERE HAWAKUWA MBULULA KUFANYA KITU INAITWA NON ALLIGNMENT MOVEMENT ENZI HIZO
  14. W

    JamiiForums Tanzania Polisi, Muda si mrefu mtakimbia na Kuziacha Bunduki zenu na kuvua Magwanda

    TANZANIA SIO USA. NO FULL DEMOCRACY
Back
Top Bottom