Mimi bnafs nimelipwa, mpunga wangu, am so happy.
kwa hiyo kama hajalipwa. wewe inakuhusu nini.au unataka kulipa wewe ?
we ukiambiwa inakuhusu nini. kwani wewe ndio mlipaji wa mshahara..haikuhusu na.wala huwezi kuchangia fedha ya mapungufu..acha watumishi hao wamalizane wenyewe na.mwajiri.wao.
MAKADA WAMEVAMIA UZI, UKIWAULIZA KILICHOKUWA KINADAIWA N NINI WATAKULA KONA MAPEMAasante Magufuli nimelipwa
Huna lolote jitu kijan.Shameless&humanlessMimi siyo kada mkuu sijalipwa hisani, nmelipwa jasho langu.
Hapana mkuu usife moyo, kama kuna mahali mlikosea kujaza madai yenu mtspewa ufafanuzi, hataa mie pia ilikuwa mapunjo ya mshahara bat thanks God jina langu lilikuwemo japo kunawenzangu tuliajiliwa nao cku moja tukaandika barua za madai cku moja lakn wao hawaja pata so n swala la mudatu mtapata nanyi, uzuri serikali huwa haidhurumu bali huwa inachelewesha tuu.Jina lako lilitoka baada ya uhakiki.. Wengi wetu majina hayakutoka, na tunadai..
Binafsi nadai mapunjo au arrears.. Orodha iliyotoka ilikuwa ina wakuu was idara na wenye vyeo fulani...
Ni kama vile kasungura kalikuwa kadogo.
Nilitakiwa nilipwe na riba coz nimadai ya tangu 2015, cyo hisani nihaki yangu, haina shukrani hyo.
Mafao?!Binafsi nitoe ushuhuda kwa mtu wangu wa karibu sana. Amelipwa mafao yake. Kiukweli alifatilia toka 2014 hadi alikata tamaa. Message ya malipo kutoka Benki ilipoingia kwenye simu yake alipata pressure kidogo afe. Anyway pale panapostahili sifa tunasifia...kwa hili JPM amefanya jambo kubwa sana. Wapo watu walishakata tamaa kabisa ....na mfano ni huyu mzee wangu ambaye amekaribia kustaafu pia.
Madhara ya lugha mama mkuu " Hasubuhi"Mtumishi wa umma huwezi hata kuandika asante unaandika hasante
Inakuhusu nini?bavicha bana!Mmelipwa madai yenu yote au nusu nusu
Mimi bnafs nimelipwa, mpunga wangu, am so happy.
asante Magufuli nimelipwa
ninyi NI waongo wazuri sana na NI watu wabaya sana ninyiMimi siyo kada mkuu sijalipwa hisani, nmelipwa jasho langu.
Kwenye mkutano wa CWT Dodoma Mh. Rais ali ahidi kuwa tutalipwa madai yetu. Baadae tena akarudia na kutaja figure billion 200. Hadi leo ni patupu. Hivi ni kweli Mh. Ni mtu wa MUNGU kama nilivyokuwa namtangaza?. Niliingia kwenye maombi na nika mchagua mimi mwenyewe. Naamini MUNGU atanifariji na kunipa nguvu ya uvumilivu na labdae nitapata haki.Namwachia MUNGU wangu. Ipo siku nitapata haki yangu. Ninasikitika sana kuikosa haki mapema.
Lkn ni kweli umetoka auMimi bnafs nimelipwa, mpunga wangu, am so happy.
Lkn ni kweli umetoka au
!!!???