(a)hujitambui (b) huna malezi yakuwa mke wa mtu (c) utakuwa ulilazimishwa kuingia kwenye hiyo ndoa /uliigia kwa lengo la kuitwa na mke wa mtu ingawa akiri yako bado iko misiri.
Nina watoto wawili wa huyu cousin wangu ingawa husband anajua ni wa kwake, ×××××××× hivi zinakutosha kweli wewe? Nimewahi jiuliza swali hili kwa habari ya kuumbwa kwenu nyie wanawake kwa nini hamkutokana na mfupa wa mguu au mkono badala yake mkatoka kwenye ubavu hii inamaanisha ka vile ubavu...
Kwa mujibu wa maandiko (biblia) mambo ya walawi 20:10 imeandikwa, Na MTU aziniye na mke wa mtu mwingine, naam,yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa. hivyo basi toba ya kweli inahitajika juu ya dhambi mnayoiishia na mkumbuke mshahara wa dhambi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.