Nadhani wewe ndio una low IQ. Mtoa mada ameongelea mambo mengi hili unalolisema likiwa mojawapo. Wewe umechagua kushupalia hapo maana ndio umepaelewa, mambo mengine aliyoyaongelea yamekuzidi upeo.Kwa hiyo usiwe na wivu ndugu yangu kama hujaelewa hayo mengine.Wajinga watadharau waelevu watatoka...
Ukitaka kujua Tanzania bado sana,angalia comment za humu.Nazungumzia wale wa -ve comment.mtu kaweka reference lakini unakuta mtu bado anakomaza shingo kwamba haiwezekani.Na huo ndio mtazamo wa jamii ya walio wengi.Tukija kuzinduka tutakuwa tumeshapotea.
Huu ni ubashite kiwango cha phd.kwa hiyo mtu akitaka kwenda kibaha mail moja au bagamoyo aombe kibali kwa bashite. Kwa kweli ni fedheha kuongozwa na watu wa namna hii. Yaani eti bashite ndo think tank ya mkuu wa kaya na nchi. Hatari sana
Hivi hawa viongozi wa hivi mkulu kawatoa wapi. Ila hayo mambo ya hivyo anayapenda kweli, na unaweza kushangaa anapandishw cheo kuwa RC. Chuki kama hizi zinahatarisha usalama wa nchi.
Kwa hiyo we unaona swala la michezo halistahili pongezi.Yeye ameona bora washindwe pote kwenye taaluma na michezo,kwa maana wasingeshinda asingewaandikisha maelezo. Je muda wote alikuwa wapi,kwa nini asubiri siku ya kupongezana anakuja na haya maigizo ya kiubabe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.