sometimesyes
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 355
- 284
Pikeni majungu wkt dunia inasogea.
Smartphone unaitumia kufanya nn ndugu? Serikalini wanatumia teknolojia gani latest mpaka sasa! Wameshindwa nn kutumia teleconference kutwa wapo Dar na wanajidai wamehamia DodomaSio kweli. Angalia smartphones leo hii tunazitumia. Teknolojia haina mipaka.
Wivu wa kike huuOntario bilionea kwa migongo ya mazombie nchini
Umenihuzunisha sana. Natamani ningekusaidia.daaah asee nimevutiwa sana na huu uzi ningekuwa najua kingereza na me ningesoma vitabu ila daah! siwezi hata kusoma vitabu vya forex yan fursa zinanipita kisa kutojua lugha, inauma sana
Tukisema humu JF kuna matahira na watu kabla ya kujiunga wafanyiwe aptitude test ni shaur ya elimination ya matahira kama nyinyi. Unapojifunza jambo jipya assume zero understanding then dig for more information kabla ya kutoa reviews zako. Kuna google ipo search na soma ujue how it works. Kazi kuwa kama misenge tu. Mnakera sana vilaza koko nyinyi.Hii hata mimi kila nikijaribu "kulisukumizia" kwenye ubongo wangu linakataa kabisa,sasa kama nyumba inakuwa printed inamaana hilo printer lenyewe lina ukubwa kiasi gani?......lakini pia kuna lile la kumfyatua binadamu kama tofali maabara,hili nalo japo ni tecknolojia ila nahisi kama "kamba" hivi ila sijui tuendelee kusubiri lakini sidhani.
Mkuu vitu vingine mnatia aibu. Usipende kupikiwa, uandaliwe mezani, unawishwe na kulishwa ulishwe pia kweli?mkuu ONTARIO naomba ufafnuzi hapo kwenye technology ya 3D printing,hasa uliposema kuwa huko china kuna ghorofa la ngazi 5 limejengwa kwa siku 17 na kuhusu hilo gari la ku-print linafanya kazi au ni gari la pambo?
kodi Anko atakusanya kwenye viwanda vya bia na sigara
Hahhaa, Ontario bwana! nimecheck mpaka mbavu zimeumia, interesting indeed!Mpk mwaka unaisha jamaa atakua anamtuma Bill Gates sokoni akamnunulie ugoro.
Mi bado Zombie wa Ontario mpaka nizinduke itachukua mudaWivu wa kike huu
Kwann na ww usi tengeneze mazomb wako ukawa hata Lakionea
Hapo ndio point yake kubwa.
Halafu it is so so sad,idadi kubwa ya population ni low IQ watamfuata huyu mwizi all the way through!
So sad!
No matter how you alert these fools,they will never learn!
Nadhani wewe ndio una low IQ. Mtoa mada ameongelea mambo mengi hili unalolisema likiwa mojawapo. Wewe umechagua kushupalia hapo maana ndio umepaelewa, mambo mengine aliyoyaongelea yamekuzidi upeo.Kwa hiyo usiwe na wivu ndugu yangu kama hujaelewa hayo mengine.Wajinga watadharau waelevu watatoka na kitu.