Why, why, why, kila neno linazaa neno?? Tuyaache mengine yapite, mwishoni mtasema hitler alikua nabii, or mtasema hitler alikua muislam, and etc. Mengine tuwaachie wenyewe, hakuna tutachokibadilisha, we are human kila siku tunagundua vitu, nshaskia eti vita ya uganda na tz eti ni ya kidini. Pliz...