Recent content by whynot

  1. whynot

    Uchaguzi mdogo wa Udiwani Kata ya Nduli-Iringa Mjini

    mchungaji msigwa mbunge wa iringa mjini ampiga nondo ya kichwa katibu wa ccm kata ya mkwawa ndg. Salum kaita..... Polisi wanaendelea na kazi yao kuhakikisha hakuna matukio ya kuvunja amani katika dakika za mwisho za kampaign katika kata hiyo ambapo uchaguzi utafanyika tarehe 9/2/2014. Tukio hili...
  2. whynot

    majina ya walioweka mabillioni uswiss

    :flypig: nikahakiki
  3. whynot

    Walionyongwa China, Damu zao mikononi mwa Kikwete

    LOL URAIS KAZI KWELI, WATU WAFANYE KWA TAMAA ZAO LAWAMA ZIENDE KWA RAIS???:embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2: SI HAKI. MHESHIMIWA RAIS AMEKUWA MSTARI WA MBELE KUKEMEA BIASHARA YA SEMBE NA WOTE WANAOJIHUSISHA NA BIASHARA HIYO IWEJE MTU ATOE POST KAMA HIZI HUKU...
  4. whynot

    Mvuto wa Irene Uwoya

    KUWA HURU UNAJIKOSESHA HAKI YAKO..... KAMA KUOA AU KUOLEWA NDIO HUKU LOL AHERI KUWA SINGLE!:flypig:
  5. whynot

    Mvuto wa Irene Uwoya

    she is beautiful....age kitu gani wote watazeeka ila sifa zake apewe. Kupandwa ni matokeo hata wenye sura mbaya hupandwa pia. Watu wamejawa na wivu usio na tija. Hivi ukiwa na mke huruhusiwi kumsifu mtu na uzuri wake au kavaa nguo imempendeza??? HUU NI UVIVU WA KUFIKIRI!
  6. whynot

    Kwanini Levina Mukasa alijiua UDSM?

    So sad, kundi hilo liliendelea hadi miaka ya 2000 japo hali ilibadilika kiasi kwani hadi wanaume walikuwa wakitolewa Punch. Pia kuna wanawake walianzisha kundi lao "MOTHER OF THE LAND" Walikuwa wakiwatoa wanaume sana sana japo haikuwa strong kama PUNCH Original. Wengi sana walifikia uamuzi wa...
Back
Top Bottom