whynot
Member
- Feb 7, 2014
- 6
- 5
[font=lucida grande, tahoma, verdana, arial, sans-serif]mchungaji msigwa mbunge wa iringa mjini ampiga nondo ya kichwa katibu wa ccm kata ya mkwawa ndg. Salum kaita..... Polisi wanaendelea na kazi yao kuhakikisha hakuna matukio ya kuvunja amani katika dakika za mwisho za kampaign katika kata hiyo ambapo uchaguzi utafanyika tarehe 9/2/2014. Tukio hili linasikitisha sana na ni muendelezo wa siasa chafu zinazofanyika mara kwa mara wakati wa chaguzi nchini tanzania tangu kuanza kwa vyama vingi.
[/font]
[/font]
