Recent content by whiteskin

  1. whiteskin

    JamiiForums Tanzania Kwanini walinzi wa Magufuli walikuwa wanavaa sare za CCM wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020?

    Swala la kiusalamA au ulinzi linaweza husishwa. Japo hupaswa inapobidi.
  2. whiteskin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kilosa - Morogoro: Wana-CCM wadaiwa kupata ajali wakiwa kwenye lori wakielekea kwenye mkutano wa Samia Suluhu

    Wasije inabid watesek na vilema vyao waon mcc itawalpa nn 🏃
  3. whiteskin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kilosa - Morogoro: Wana-CCM wadaiwa kupata ajali wakiwa kwenye lori wakielekea kwenye mkutano wa Samia Suluhu

    Kufa Hutokufa , ila Cha moto wamekipata Afadhali awajafa , Walisema tukipanda na hizi Jezi , ata traffic asimamishi
  4. whiteskin

    JamiiForums Tanzania Milango ya mninga au mkongo used au mipya

    Una hyo used
  5. whiteskin

    JamiiForums Tanzania Milango ya Mitondoo

    Ashaigawa? Anafanya deriva
  6. whiteskin

    JamiiForums Tanzania Nauza Bati za ALAF

    Mkuu punguza bei basi bati @1pc- 25000/-
  7. whiteskin

    JamiiForums Tanzania Natoa somo hapa kuhusu misumari ya bati

    Cjaona misumar kwaajili ya migongo mipana
  8. whiteskin

    JamiiForums Tanzania Nauza Bati za ALAF

    Bado vinapatkn
  9. whiteskin

    JamiiForums Tanzania Mmea huu ndiyo hufanya bia ziwe chungu

    Imekuwa Tamu , Tena ?
  10. whiteskin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimfanyie Nini huyu Mwanamke?

    Ushaur wangu Usimuoe na wala ucwe mpz wake ila kuwa.mtu.muhimu kwake msapoti aweze kuinuka kimaisha.
  11. whiteskin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimfanyie Nini huyu Mwanamke?

    Bado hadi jumatano,ela zilienda kwa wajumbe
  12. whiteskin

    JamiiForums Tanzania Ulikabiliana vipi na suala la upotevu wa nywele (kipara) kwa mara ya kwanza

    Kipara kilinianz mapem mno 19/21 nikawa na dalili 25 kipara 28 kipara kamili now kipara sugu Kwenye 21 had 29 kilinkosesha raha kbsa nikisikia.mtu.anasema we unakipara nakosa furah , Nyoa kipar relax, au vaa wigi 🙃
  13. whiteskin

    JamiiForums Tanzania Mnaoagiza magari mmesikia hili

    Kwann ata seikali haiwazi kubana matumiz(Magari yote ya serikali watumie /wanunue ya hadhi ya chin kdogo then yafungwe gesi ) na kuleta mzgo moja kwa moja , kodi tuu za usajili wa Gari ni kipngele, Mzgo mpe punda. Tunawalisha , Tunajilisha alafu tunawapigia makofi,
  14. whiteskin

    JamiiForums Tanzania Magari mawili tofauti yanakuwa je na plate number hiyo hiyo? Mkisikia mwenye nyumba hayupo, muwe mnaelewa!

    Hayo n magari ma2 Tofaut ,Sio kesi
Back
Top Bottom