Recent content by Whiteman confusing

  1. Whiteman confusing

    JamiiForums Tanzania Serikali yaahidi kusimamia kikamilifu mkopo nafuu wa shilingi trilioni 1.3 uliotolewa na IMF kukabiliana na athari za UVIKO-19

    Ubaya wa huyu waziri wa fedha, nichukulia mambo simple sana. Kodi tunazo kusaya zinafika Asilimia ngapi ?? Lapato la nchi . Then waje watuambie kwanba wanakwama wapi kama Taifaup tufanye nini? Ni kweli leo kapata hiyo dhamana ya kuwa waziri but kesho hayupo so hizo mikopo tutazilipaje? ...
  2. Whiteman confusing

    JamiiForums Tanzania Rais atoe taarifa za kweli juu ya tozo na fedha za IMF

    Kwa ufupi mama hanaitumia vilivyo nadharia pana ya Diplomasia . Hacha tukope make hela ni za IMF ni mali zetu tunazirudisha tuu nyumbani. Siyo vibaya kukopa. ila tuzitumie kwenye miradi elekezi na si vinginevyo. Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  3. Whiteman confusing

    JamiiForums Tanzania Suala la Machinga, yafanyike haya

    Noted well
  4. Whiteman confusing

    JamiiForums Tanzania Suala la Machinga, yafanyike haya

    Swala la Machinga ni swala gumu sana kulizungumzia kwa matakwa ya kidola, inaitaji Busara kubwa sana kuli-solve . Serikali ikitaka kupambana na tatizo hili wafanye yafuatayo. 1.Ajira kwa vijana, watengeneze viwanda vidogovdogo vingi ili vijana wakafanye kazi. 2.Serikali itoe exposure...
  5. Whiteman confusing

    JamiiForums Tanzania Seven reasons why some of Degree holder are Poor

    Ofcourse yes, but Remember that the problems is not a graduate, but problems is about our institutions. Simple example look at Indian most of graduates are so intelligent, their are marking online Tutorial. In africa this issues is vast problems . We need good Reformation of strong institutions.
  6. Whiteman confusing

    JamiiForums Tanzania Polepole ni wazi anaungana na Lissu juu ya uwezekano wa kuwepo watu wanaongooza Serikali kwa mlango wa nyuma

    Ukishindwa kushindana nao. Jaribu kuwavuruga , ukishindwa kuwavuruga basi jiunge nao.
  7. Whiteman confusing

    JamiiForums Tanzania Fikra Pevu: Umewahi kumpima January Makamba katika Nafasi ya Uwaziri Mkuu?

    Mkuu January makamba ni mtu wa kawaida sana. Amelifanyia Taifa nini??? Labda cha hajabu zaidi ya kuweka masilai yake mbele. Ok now ni Mp umeona hana impact gani hata kwenye izi tozo na kodi tunazolipishwa.
  8. Whiteman confusing

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwamba wapo wakuu wa wilaya wameomba kuacha kazi kwa ajili ya majukumu mengine binafsi zina ukweli?

    Kwa vijana wenye upeo mpana, na fikra chanya hizi cheo zisizo na challenge. hazina maana kabisa. Mfano msogo kuna kinana alikuaga hana uwezo mkubwa wa kujenga hoja . Ila alipo pewa hukuu wa wilaya sasa hana challenge kwenye taifa tena .
  9. Whiteman confusing

    JamiiForums Tanzania Je huyu anaingia katika vigezo vya kuwa lecturer?

    Itawezekana ikiwa first degree yake 3.2 GpA ikawa relevant na second, first degree yenye GPA3.9 Kama Master degree itaendana na last first degree yenye GPA3.9 Ni raisi kupata popote assistance Lectures Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  10. Whiteman confusing

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Naiuza Hp elitebook core i7 tsh380000

    Mkuu huko wapi niione hiyo machine Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  11. Whiteman confusing

    JamiiForums Tanzania Sio kweli kwamba kila tatizo hapa nchini litatatuliwa na Katiba Mpya

    Kwa ufupi, iko ivi ili nchi iendelee mbele kinachoitajika ni mfumo wa uhendeshaji. Na mfumo huo ndio tunaliita misinfi wa kiutawala ambacho ni KATIBA MAMA. kwa maana hiyo katiba ndio mwarubaini wa matatizo yote na ndio chanzo ya matatzo tuliyonayo kwa sasa.
  12. Whiteman confusing

    JamiiForums Tanzania Zuio la mijadala ya katiba mpya ni kuzuia elimu hii isiwafikie wananchi

    Jukumu la kutoa somo la katiba Mpya , wajubu wa serikali na asasi zake zote . Iwapo serikali iliopo madarakani itashindwa kutoa somo kwa Raia wake basi Hasasi za kijamii zitachukuwa nafasi iyo. Na hizo Asasi ni pamoja na 1. Vyama vya kisiasa 2.Taasisi binafsi, NGOS kwa aina zake. Sent from...
  13. Whiteman confusing

    JamiiForums Tanzania IMF yaidhinisha mkopo wa Tsh Trilioni 1.2 kwa ajili ya Corona Tanzania

    Hizo Tozo za madilu zinaenda wapi?? Kama kila mwizi msaada na mikopo. Hunaweza kuta hata mishahara ya wafanya kazi tunakopa. Hii ni Anguko kubwa kwa taifa. Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  14. Whiteman confusing

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Viongozi CHADEMA: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

    Mkuu logic yako iko wapi .mbona hakuna uhusiano baina ya Tittle na context Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  15. Whiteman confusing

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanatetea ajabu hata wao hawachanji

    Wakuu swala la chanjo ni ishu ya uhiari. Na siyo lazima, chadema haiwezi kuwalazimisha wanachama wake. Kwa ulazima kwenda kuchanjwa, Ili hali swala ilo ni la kila mmoja watu. Unless otherwise ingekuwa ni agenda la Taifa kwa ujumla au swala la kichama. Ivyo basi itoshe kusema ya kwamba viongozi...
Back
Top Bottom