Rais atoe taarifa za kweli juu ya tozo na fedha za IMF

Kwa hiyo sasa hivi mmeghairi kujenga barabara za lami vijijini?
Maana mwanzo mlisema ni kwa ajili ya barabara za vijijini
Acha kuropoka hovyo usichokijua, barabara zinajengwa kwa tozo ya mafuta , miamala ni kwa ajili ya elimu,afya na maji.
 
We kweli una matatizo, kwa hiyo pesa ya tozo kama inajenga madarasa, hatakiwi kuongezea nyingine,

vipi ulikuwa unahitaji mkopo?
Alivyo kiazi sijua anajua bil.40 zinaweza vipi kukamilisha vyumba zaidi ya 10,000 at per afu pesa yenyewe ni ya kusubiria mwezi hadi mwezi..

Uanze kusubiria wakati una pesa imepatikana mkononi ya fasta?
 
hawa jamaa kila kitu wanasema ni tozo..lakini ndai ya miezi sita kapata mikopo ya world bank na IMF zaidi ya trillon 4 sasa zote hizo Inaenda kufanya nini...wakati hazihusian na SGR au bwawa la umeme
Unapo taja trilion 4 unaziona ni nyingi sana hadi unauliza zinafanya nini lakini unasahau kuna watanzania milion 62+ ambao bado wanahitaji mahitaji mengine kila siku na ndani yake, kuna wanachuo wanahitaji mikopo, kuna watumishi wa umma wanahitaji mishahara, kuna wastaafu wanahitaji pension na malipo yao ya mwenzi lakini kuna wanafunzi elimu bure wamo humo, hapo bado miradi mikubwa inayo jengwa na inahitaji mabilion ya pesa ,

hapo hapo wakulima wana lalamika mazao yao hayauziki , ndio maana mwenda zake alikuwa anapiga porojo na uongo mwing lakini ndiye aliye kopa pakubwa ndani ya mda mfupi kuliko wote , kuongoza nchi sio sawa na kuongoza familia
 
Kwa ufupi mama hanaitumia vilivyo nadharia pana ya Diplomasia .
Hacha tukope make hela ni za IMF ni mali zetu tunazirudisha tuu nyumbani.

Siyo vibaya kukopa. ila tuzitumie kwenye miradi elekezi na si vinginevyo.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Unapo taja trilion 4 unaziona ni nyingi sana hadi unaliziza zinafanya nini lakini unasahau kuna watanzania milion 62+ ambao bado wanahitaji mahitaji mengine kila siku na ndanibyake kuna wanachuo wanahitaji mikopo, kuna watumishi wa umma wanahitaji mishahara, kuna wastaafu wanahitaji pension na malipo yao ya mwenzi lakini kuna wanafunzi elimu bure wamo humo, hapo bado miradi mikubwa inayo jengwa na inahitaji mabilion ya pesa ,

hapo hapo wakulima wana lalamika mazao yao hayauziki , ndio maanabmwenda zake alikuwa anapiga porojo na uongo mwing lakini ndiye aliye kopa pakubwa ndani ya mda mfupi kuliko wote , kuongoza nchi sio sawa na kuongoza familia
Hayo unayoyasema yako ndani ma malato ya kilammwezi ya kodi amabyo ni trioni 1.6..usidhani sisi hatysomi repoet za kila mwezi za serikali zinazotokewa na benk kuu
 
Hayo unayoyasema yako ndani ma malato ya kilammwezi ya kodi amabyo ni trioni 1.6..usidhani sisi hatysomi repoet za kila mwezi za serikali zinazotokewa na benk kuu
Hiv wewe unaona hayo makato ndo yanamaliza shida zote na mnavyo zaliana kana panya kila siku? Umesha wahi kujua full gvmnt expenditures per month?? Tuanzie hapo kwanza
 
Kwa yaliyo mengi yanayoendelea humu mitandaoni, mimi namshauri Mama atumie PRINCIPLE ya JK, Rais wa awamu ya nne. I liked JK;s principal,.... "NI UPEPO, UTAPITA"
 
Alivyo kiazi sijua anajua bil.40 zinaweza vipi kukamilisha vyumba zaidi ya 10,000 at per afu pesa yenyewe ni ya kusubiria mwezi hadi mwezi..

Uanze kusubiria wakati una pesa imepatikana mkononi ya fasta?
Ki

Mimi na wewe Nani kiazi? Kwani wanafunzi wanaanza kwenda shule mwakani tu? Miaka iliyopita walikuwa hawaendi?
 
Kama hakukuwa na stimulus plan yoyote, hiyo pesa ya IMF itaishia kwenye sandarusi na tozo zitaendelea kukusanywa kwa ajili ya migao ya pesa ya mboga, angalia timu ya mawaziri inayotengenezwa utaelewa tu wapigaji wanarudi ulingoni...
 
We kweli una matatizo, kwa hiyo pesa ya tozo kama inajenga madarasa, hatakiwi kuongezea nyingine,

vipi ulikuwa unahitaji mkopo?
Kodi zote kabla ya tozo zinaenda wapi?Bajeti ya Royal Tour ilipangwa na kupitishwa lini?
 
Rais Samia awe makini kukwepa kusema uongo mbele ya umma

Rais Magufuli alipenda propaganda ndio maana watu werevu walimchoka mapema kwa propaganda

Alichukua pesa za michango ya rambirambi Bukoba na kwenda kufanyia mambo mengine kabisa. Mara tunajenga kwa pesa zetu

Sasa na Samia ameanza kuingia kwenye mtego wa uongo kama mtangulizi wake. Wiki iliyopita akienda Bagamoyo alisimama Tegeta na kuwaaminisha watanzania kwamba tozo zinahitajika ili kujenga madarasa.

Na akasisitiza misaada na mikopo sio mizuri kutoka kwa wazungu.

Ila Leo kashachukua pesa za IMF za kupambana na athari za covid 19 kwenda zaidi ya trilioni moja baada ziende kwenye athari za covid kama kuimarisha sector ya utalii na kukopesha wafanyabiashara waliopoteza mitaji yeye anapeleka pesa kwenye madarasa?

Kipaumbele Cha tozo ni madarasa na kipaumbele Cha mkopo wa IMF ni madarasa.

Tozo hazitoshi? Wakati ndani ya wiki nne zinakusanywa zaidi ya billion 50 maana yake kwa mwaka ni billion 600 hizi pesa zote zitaenda wapi?

Allocation of resources hakuna tena wakati Rais Mchumi, Makamo wake Mchumi, Waziri wa fedha yupo ila bado wanachukua pesa kwa ajiri ya athari za Corona wao wanapeleka kwenye madarasa kumbukeni Kila kitu ni muhimu.

Kuna wafanyakazi kwenye hoteli za kitalii wanadai bado mishahara ya mwaka Jana.

Kuna makampuni yalikopa mikopo mikubwa benk na mdororo wa kiuchumi umewafanya kupunguza wafanyakazi.

Kuna sector ya anga kesho mtakuja tena kusema ITCL imepata hasara wakati hamuwezi hata kulinda makampuni ya umma.

Rais unatukwaza Sana acha kudanganya umma kwamba madarasa yanajengwa na tozo wakati unakopa pesa nje kujenga madarasa.
Please L:eave Alone JPM hiyo ni habari nyingine!
 
Kazi gani???
Ya kulipa madeni huko mbeleni... wanasema mikopo yenye masharti nafuu lakini masharti hayo hawayataji halafu pia hawasemi kama kodi itaongeza wakati mrejesho wa madeni ukifika... wao kazi ni kubugia bugia tu - mwishowe watazitapika...ndio maana ya kazi iendelee... madeni fedhaha siku sijazo...
 
Rais Samia awe makini kukwepa kusema uongo mbele ya umma

Rais Magufuli alipenda propaganda ndio maana watu werevu walimchoka mapema kwa propaganda

Alichukua pesa za michango ya rambirambi Bukoba na kwenda kufanyia mambo mengine kabisa. Mara tunajenga kwa pesa zetu

Sasa na Samia ameanza kuingia kwenye mtego wa uongo kama mtangulizi wake. Wiki iliyopita akienda Bagamoyo alisimama Tegeta na kuwaaminisha watanzania kwamba tozo zinahitajika ili kujenga madarasa.

Na akasisitiza misaada na mikopo sio mizuri kutoka kwa wazungu.

Ila Leo kashachukua pesa za IMF za kupambana na athari za covid 19 kwenda zaidi ya trilioni moja baada ziende kwenye athari za covid kama kuimarisha sector ya utalii na kukopesha wafanyabiashara waliopoteza mitaji yeye anapeleka pesa kwenye madarasa?

Kipaumbele Cha tozo ni madarasa na kipaumbele Cha mkopo wa IMF ni madarasa.

Tozo hazitoshi? Wakati ndani ya wiki nne zinakusanywa zaidi ya billion 50 maana yake kwa mwaka ni billion 600 hizi pesa zote zitaenda wapi?

Allocation of resources hakuna tena wakati Rais Mchumi, Makamo wake Mchumi, Waziri wa fedha yupo ila bado wanachukua pesa kwa ajiri ya athari za Corona wao wanapeleka kwenye madarasa kumbukeni Kila kitu ni muhimu.

Kuna wafanyakazi kwenye hoteli za kitalii wanadai bado mishahara ya mwaka Jana.

Kuna makampuni yalikopa mikopo mikubwa benk na mdororo wa kiuchumi umewafanya kupunguza wafanyakazi.

Kuna sector ya anga kesho mtakuja tena kusema ITCL imepata hasara wakati hamuwezi hata kulinda makampuni ya umma.

Rais unatukwaza Sana acha kudanganya umma kwamba madarasa yanajengwa na tozo wakati unakopa pesa nje kujenga madarasa.
Mbona alisema mapema tu kuwa yy na jiwe ni sawia..

Mi5 tena!
 
Back
Top Bottom